Car4Sale Fuso Tipa na Semi Trailer zinaizwa

Car4Sale Fuso Tipa na Semi Trailer zinaizwa

Kuna nyingine hii imeingia mapema kabisaa.
Scania 124-420
Horse pamoja na trailer yakevuote kwa pamoja bei yake ni 70M.
Gari ipo barabarani siku zote. Ukihitaji kuiona/kukagua na mafundi wako nipigie au nicheki WhatsApp 0755963775

Screenshot_20220310-140951_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220310-140939_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220310-141006_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220310-140958_WhatsApp.jpg
 
Habari ya muda wakuu.
Kuna hili jiwe nyundo ama niseme chombo ya kazi za kibabe.

Scania 114L-380
Hub reduction/double diff
Bei 50M pamoja na trailer yake.
Usajili namba A

Ni gari ya kazi haswa kwa wanaoifahamu. Kama kawaida ukitaka kukagua nicheki kwa 0755963775 ipo Dar

Screenshot_20220311-121231_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220311-121239_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220311-121224_WhatsApp.jpg
 
Habari ya asbuhi wakuu, kuna hii gari safi sana, gari ya wajasiliamali na kazi haswaaa.

Make: Scania
Model: 124L-420
Location: Dar na Iringa
Bei: 78M vyote pamoja na trailer yake.
Trailer: Ina ekseli za BPW
kwa leo ipo njiani inatoka Iringa inakuja Dar.

Ukitaka kukagua au gari kubwa yoyote nipigie 0755963775

Screenshot_20220312-100734_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220312-100736_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220312-100736_WhatsApp.jpg
 
Habari wakuu.
JE WEWE NI MGENI KATIKA TASNIA YA USAFIRISHAJI NA UNGEPENDA KUSHAURIWA GARI ZA KUANZA NAZO BIASHARA YA USAFIRISHAJI?
NB:
Ushauri huu nitautoa kwa mujibu wa uzoefu wwngu katika tasnia hii lakini pia nikiwalenga wale wageni kabisaaa hasa ambao mitaji sio mikubwa.
Ipo hivi, hapa nchini kuna brands nyingi sana za magari makubwa kuanzia zile zinazotoka America, Ulaya, Mashariki ya mbali hadi Korea. Kwa marneo yote hayo kila mmoja anakua anazalisha gari ambayo amelenga mazingira fulani ya ufanyaji kazi na ndio maana ukichukua Howo ya China na Scania ya Sweden yanatofautiana kabisaaa kimuundo, kimakenekia na kiuendeshaji kwa sababu kila muundaji amelenga mazingira yake.
Sasa kwa wale wazee wenzangu wa used ni vizuri kulenga gari ambayo itakua na sifa za

🔥 KUDUMU,
🔥KUTENGENEZEKA KIURAHISI,
🔥UPATIKANAJI WA VIPURI KWA BEI RAHISI
🔥INAYOMUDU MAZINGIRA YA KWETU.
🔥BEI RAFIKI
Kwa vigezo hivyo hapo juu basi naomba nikushauri kuwa gari unayopaswa kuanza nayo ni SCANIA 124L-420 au 124L-380 ambazo sio RED DOT hizi ndizo gari ambazo kwa uzoefu wangu zinakidhi vigezo tajwa hapo juu. Na kama ukikosa kabisa basi angalau upate 114L-380.
Hizo ndio horse zangu bora kabisa za kijasiliamali.
Nitakuja siku nyingine na trailers
 
Karibuni sana wakuu, pia ukiwa na maswali ama maoni usisite kuuliza
 
Make:HOWO
Body: TIPA
Location😀ar es salaam
Bei: 80M
Ukitaka kukagua nipigie chap 0755963775

Screenshot_20220314-182406_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220314-182423_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220314-182426_WhatsApp.jpg
 
Hayaaa wale wazee wa ngumu kumeza kuna gari ya kazi hapaaa.
Make:Scania
Model: 113-360 Mende
Location: Dar
Bei: 45M

Kwa wanaozifahamu hizi gari hawatahangaika. Kipisi cha kazi hiki kinauzwa kiwahi chap.
Ukitaka kukagua nipigie chap 0755963775

Screenshot_20220315-145623_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220315-145630_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220315-145612_WhatsApp.jpg
 
Habari ya jioni wakuu.
Kama utakua na mahitaji ya gari kubwa za mizigo ama mitambo ya ujenzi usisite kunicheki.
0755963775
 
Habari ya jumapili wakuu.
Howo new model
Trailer ni CIMC double tyres
Bei 110M FIXED.

Hii gari ni sawa na mpyaaa ni gari ya kazi dume haswa na kwa ajili ya kazi heavyweight. Trailer yake ndio the best kwa brands za wachina nalo bado lipo katika hali nzuri.

Ukitata kukagua nipigie 0755963775

Screenshot_20220320-114418_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220320-114433_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220320-114320_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220320-114402_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220320-114406_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220320-114408_WhatsApp.jpg
 
Caterpillar motor grader
Model 140H original
Masaa 2046
Location Dar
Bei 220M
Ukitaka kukagua nicheki 0755963775

Screenshot_20220320-160217_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220320-160220_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom