Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Mkuu Kama hauna content au maudhui ni Bora uwe msomji maan unaandika pumba sana sijui ni ugeni wa kuingia JF au ? Hiyo nimekupa constructive criticismUkiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
Mhaya mwenzio huyo amekata kambaaaSema Mkuu Kama hauna content au maudhui ni Bora uwe msomji maan unaandika pumba sana sijui ni ugeni wa kuingia JF au ? Hiyo nimekupa constructive critic
Naona ugeni unamsubua anapost pumba kila dakikaMhaya mwenzio huyo amekata kambaaa
Wewe ndio mshamba... Uelewi maana ya Forum, na social media platforms... Humu kila aina ya mada zinawekwa as long as hazivunji sheria na sera ya JamiiforumsSema Mkuu Kama hauna content au maudhui ni Bora uwe msomji maan unaandika pumba sana sijui ni ugeni wa kuingia JF au ? Hiyo nimekupa constructive criticism
Sawa Ila fahamu wewe ni mtoto Mdogo Sana . Hapa Katika hii forumWewe ndio mshamba... Uelewi maana ya Forum, na social media platforms... Humu kila aina ya mada zinawekwa as long as hazivunji sheria na sera ya Jamiiforums
Wewe ukitaka mada za kuumiza Vichwa, tafadhali nenda kwenye majukwa ya Siasa huko, ukabishane kuhusu CCM... Sisi tuachie tupige stori tunazozipenda... Mimi sio Albert Einstein au Isaac Newton kukupa Uzi wa Maarifa... Kama maarifa hukuyapata shuleni shauri yako. Nenda kwemye Forums zenye hayo mambo, ni haki yangu kuweka mada ninayoitaka, tusipangiane tafadhali..
Marekani tu zingine zibakiUkiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
Wewe ndio pumba za kupangiana cha kupost unaleta hapa.... Nenda kalime ndizi huko, sio kila mtu anataka kuongelea Habari za CCM na Chadema. Ungekuwa na akili ungeiondoa CCM madarakani, na sio kuja kutusumbua hapa na ujinga wako wa kupangiana mada za kuongelea... Hata jina lenyewe linaonesha wewe ni Mshamba eti "DR HAYA LAND" yani Daktari ardhi ya wahaya 😂😂😂. Mshamba mmoja weweNaona ugeni unamsubua anapost pumba kila dakika
Na asikie, kazidiSema Mkuu Kama hauna content au maudhui ni Bora uwe msomji maan unaandika pumba sana sijui ni ugeni wa kuingia JF au ? Hiyo nimekupa constructive criticism
Naondoa Dini na ukabilaUkiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
Naondoa Dini na ukabilaUkiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
Hizo Content za maana andika wewe... Mimi nitakuja kuchangia, tusipangiane cha kuandika... Mimi sio Galillei Galileo kukuandika hapa mada za kuumiza kichwaSema Mkuu Kama hauna content au maudhui ni Bora uwe msomji maan unaandika pumba sana sijui ni ugeni wa kuingia JF au ? Hiyo nimekupa constructive criticism
Tatizo sitokei kwenye hii dunia yenu ya kumwaga damuUkiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?