Futa Nchi mbili kwenye Uso wa Dunia

Futa Nchi mbili kwenye Uso wa Dunia

Naondoa Dini na ukabila
Hili jibu nimelipenda sana, Nchi hazina shida ila dini na ukabila ndio unatugawanya Watu. Nchi ni miliki za ardhi tu kama vijiji ndani ya Wilaya moja.
Ondoa Dini na Ukabila, Safi sana Mkuu.
 
Hizo Content za maana andika wewe... Mimi nitakuja kuchangia, tusipangiane cha kuandika... Mimi sio Galillei Galileo kukuandika hapa mada za kuumiza kichwa
Mbona povu mkuu, jamaa amekupa ushauri mzuri tu. Na jambo jingine punguza mihemko una utoto mwingi.
 
Ulosefu wa ajira unaliumiza sana hili taifa.
Kwa hiyo wewe mwenye mwenye ajira humu unafanya nini sasa... Si uende ukafanye kazi. Husilazimishe kila mtu kufanya unachopenda wewe, moja haki ya kikatiba ni Freedom of Expression, naleta mada nayotaka mimi, sio unayotaka wewe.... Hii ni account yangu, mambo yako ya Ukosefu wa ajira peleka kwenye Forums za ajira huko.... Hii ni forum ya habari mchanganyiko
 
Tanzania, nakuirudisha Tanganyika,
South Africa pia......
 
Kwa hiyo wewe mwenye mwenye ajira humu unafanya nini sasa... Si uende ukafanye kazi. Husilazimishe kila mtu kufanya unachopenda wewe, moja haki ya kikatiba ni Freedom of Expression, naleta mada nayotaka mimi, sio unayotaka wewe.... Hii ni account yangu, mambo yako ya Ukosefu wa ajira peleka kwenye Forums za ajira huko.... Hii ni forum ya habari mchanganyiko
Umepanic bro
 
Mbona povu mkuu, jamaa amekupa ushauri mzuri tu. Na jambo jingine punguza mihemko una utoto mwingi.
Hakuna Povu hapo ofisaa... Na mimi nimempa Ushauri mzuri tu kwamba akitaka mada anazopenda yeye, basi aende kwenye Forums zinazotoa mada anazotaka yeye...

Anapaswa kuelewa hii ni Forum ya Habari mchanganyiko, hivyo kila aina ya mada hipo humu... Msinilazimishi kuandika mada mnazotaka nyie, mimi mada zangu ni hizi, na watu pia wana-reply kwa sababu wanazipenda
 
Huna cha kukazia hapo, unapoteza muda tu... Huo muda ulioandika hayo, ungeandika Nchi mbili ambazo husingeoenda kuziona kwenye Dunia kidogo tungekuelewa...
We jamaa unautoto sana, sasa nchi mbili zifutwe kwa ajili ya nini, na kwa mamlaka ya nani? Na hata nikitoa maoni itasaidia nini, kwenye kupunguza hizo nchi?
 
We jamaa unautoto sana, sasa nchi mbili zifutwe kwa ajili ya nini, na kwa mamlaka ya nani? Na hata nikitoa maoni itasaidia nini, kwenye kupunguza hizo nchi?
Husitake kufanya swali liwe complicated ofisaa... Uwezi kujibu acha, hilo swali ni Poll tu ya kujua Nchu zipi zinachukiwa na watu wengi... Uwezi kujibu achana nalo, hujashikiwa kiboko
 
Unapoteza muda tu, Kakazie kwenye Uzi wako
Sasa kama hutaki nikazie kwenye uzi wako, kulikua na haja gani ya kuuleta humu kwenye jukwaa huru. Kutofautiana mtazamo na wewe sio kosa, sasa kama hutaki kukosolewa nenda kajadili nyumbani.
 
Hizo Content za maana andika wewe... Mimi nitakuja kuchangia, tusipangiane cha kuandika... Mimi sio Galillei Galileo kukuandika hapa mada za kuumiza kichwa
Mzee una shida kichwani.
 
Back
Top Bottom