Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
- Thread starter
- #81
Sawa kabisa... Ila nae ulitakiwa kumuelimisha kuwa hii ni free platform, na hii ni forum ya Habari Mchanganyiko.Enhe sasa ulivojielezea kwangu hivi ndo ungemuelezea mzee hivo na sio kumshushia matusi na maneno ya dharau.
Dunia tuu hapa tunapita, there's no need ya kusemana vibaya.