Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It doesn’t take a neurosurgeon to know that. Nimeona tuu jinsi ulivokuwa unamshambulia mzee wa watu kwa matusi wakati mzee amekupa tuu ushauri.Kwamba wewe ni Pro Neurosurgeon, unawezo wa kujua Brain Injury kwa kutumia Meseji...
Ngoja tufanye utaratibu tukupeleke MIT au Havard, maana kipaji chako sio cha kukaa Tanzania...
Kwanza kabla ya kumpangia mtu cha kupost unatakiwa kutazama hii ni aina gani ya Forum, hii ni Habari Mchanganyiko forum... Humu tunaweka habari mchanganyiko, yeye alichofanya ni kuingilia uhuru wangu wa kupostIt doesn’t take a neurosurgeon to know that. Nimeona tuu jinsi ulivokuwa unamshambulia mzee wa watu kwa matusi wakati mzee amekupa tuu ushauri.
Oya! Dah Babu huku chitchat ndio mnaongea pumba kiasi hiki, mkuu kama hampo JF!Wewe ndio mshamba... Uelewi maana ya Forum, na social media platforms... Humu kila aina ya mada zinawekwa as long as hazivunji sheria na sera ya Jamiiforums
Wewe ukitaka mada za kuumiza Vichwa, tafadhali nenda kwenye majukwa ya Siasa huko, ukabishane kuhusu CCM... Sisi tuachie tupige stori tunazozipenda... Mimi sio Albert Einstein au Isaac Newton kukupa Uzi wa Maarifa... Kama maarifa hukuyapata shuleni shauri yako. Nenda kwemye Forums zenye hayo mambo, ni haki yangu kuweka mada ninayoitaka, tusipangiane tafadhali... Bladifwakeni
Futa Tanzania ya Maccm na Zanzibar yaoUkiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
😂😂😂 sawa mkuu mawazo yako yanaheshimiwa sana....Oya! Dah Babu huku chitchat ndio mnaongea pumba kiasi hiki, mkuu kama hampo JF!
Sema fresh, kama msingekuwa na jukwaa lenu mngekitibua Sana kwenye majukwaa mengine....
Mi ningeifuta Zanzibar na Tanzania Kuna miyeyusho Sana fikiria Kagera ndio wasomi wanatoka moja wapo ndio wewe.
Sema Mkuu Kama hauna content au maudhui ni Bora uwe msomji maan unaandika pumba sana sijui ni ugeni wa kuingia JF au ? Hiyo nimekupa constructive criticism
Nchi kwa maana gani?Ukiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
Ukifiria sana utatoka nje ya mada....mimi swali langu ni jepesi sana, mfano ukipewa chaguo la kufuta nchi mbili ziwepo Duniani, zisiwepo kwenye ramani bila hayo makando kando sijui ardhi kuchukuliwa na kadharika, ungeweza kufuta nchi ganiNchi kwa maana gani?
Yani nchi iondoke na sehemu ya nchi ichukuliwe na bahari?
Au sehemu hiyo itoweke kabisa duniani na dunia iwe ndogo zaidi, kusiwe na ardhi wala bahari?
Au ardhi iwepo halafu ichukuliwe na nchi jirani?
Na kama ardhi iwepo ichukuliwe na nchi jirani, sheria gani zitaongoza nchi jirani ipi ichukue sehemu gani ya nchi iliyoondolewa?
Hujafafanua swali, nakuomba ufafanue, unaniambia nikifikiria sana nitatoka nje ya mada.Ukifiria sana utatoka nje ya mada....mimi swali langu ni jepesi sana, mfano ukipewa chaguo la kufuta nchi mbili ziwepo Duniani, zisiwepo kwenye ramani bila hayo makando kando sijui ardhi kuchukuliwa na kadharika, ungeweza kufuta nchi gani
Basi nimekupata vyema... Na mimi nakupa choice yoyote wewe utakayoona inafaa katika muktadha wowote wa kufuta Nchi, futa then unipe na sababu zilizokufanya ufuteHujafafanua swali, nakuomba ufafanue, unaniambia nikifikiria sana nitatoka nje ya mada.
Nataka kujua ili nipate taarifa sahihi kabla ya kufuta nchi.
Nisije kufuta nchi nikajikuta na mimi nimejifuta hapohapo!
Enhe sasa ulivojielezea kwangu hivi ndo ungemuelezea mzee hivo na sio kumshushia matusi na maneno ya dharau.Kwanza kabla ya kumpangia mtu cha kupost unatakiwa kutazama hii ni aina gani ya Forum, hii ni Habari Mchanganyiko forum... Humu tunaweka habari mchanganyiko, yeye alichofanya ni kuingilia uhuru wangu wa kupost
sasa kwa hiyo kutetea uhuru wangu wa kupost ndio kosa?
narudia tena sipangiwi cha kupost, unless Jamiiforums wanitoe