Futa Nchi mbili kwenye Uso wa Dunia

Futa Nchi mbili kwenye Uso wa Dunia

kwa ulimwengu wa sasa uwezi kufuta nchi.
wewe ona uzi wako wa kutaja nchi za kufuta ugomvi umeanza humu kwenye hatua ya kuzifuta itakuaje!
Wewe ungepewa rungu na ufutio wa kufuta Nchi mbili kwemye uso wa Dunia ungefuta zipi na kwa sababu zipi... Sema tu kwa dhati
 
Dunia mbayo hatuishi kwa kuitafuta pesa.
Ni Dunia gani hiyo Ofisaa... Maana hata mimi ningependa kuishi huko, maana hii Dunia niliyopo, bila pesa utakufa kibudu.
 
N A K A Z I A.
Apunguze utoto.
Huna cha kukazia hapo, unapoteza muda tu... Huo muda ulioandika hayo, ungeandika Nchi mbili ambazo husingeoenda kuziona kwenye Dunia kidogo tungekuelewa...
 
Ukiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
Weka orodha ya hizo nchi.na eneo zinapopatikana.Isije ikawa ni za kuzimu ulizoota hatuwezi kuzifahamu.
 
Sawa Ila fahamu wewe ni mtoto Mdogo Sana . Hapa Katika hii forum
Acha ushamba boss hakuna mmiliki wa Forum. Ni kama shule tu uliwahi kusoma pale ila badae wakaja vizazi vingine ko usijikute wewe ndo goat wa hiyo shule.
 
Weka orodha ya hizo nchi.na eneo zinapopatikana.Isije ikawa ni za kuzimu ulizoota hatuwezi kuzifahamu.
Ofisaa mbona tukisema neno "Nchi" zinajulikana....au kuna Nchi zingine ambazo zipo Dunia na ambazo ulimwengu watu hauzifahamu utujuze
 
Acha ushamba boss hakuna mmiliki wa Forum. Ni kama shule tu uliwahi kusoma pale ila badae wakaja vizazi vingine ko usijikute wewe ndo goat wa hiyo shule.
Shukrani sana Kaka kwa kumuelewesha huyo... Yeye anadhani mada humu ni CCM na CHADEMA tu
 
Back
Top Bottom