Hii si futari lakin natamani kujua ladoo jamani. Mi nimegonga mikono chini yaani siziwezei kabisaa..
Shoga tumekuskia kilio chako
Shosti jana kachori nlichemka nimegundua ngano nliufanya mwepesi
Pole shoga angu next time fanya nzito weka na yai ai tumia unga wa dengu
mi naomba kufahamishwa namna ya kuandaa boga la nazi
Ila katress zilitoka vizuri sana
Mahitaji
Boga
Sukari
Tui jepesi la nazi
Tui zito
Hiliki
Namna ya kutaarisha
Menya boga lako then katakata vipande
Lichemshe na maji kwa muda mdogo kama dakika 15 alafu mwaga maji....
Weka tui jepesi na hiliki
Weka sukar
Wacha ichemke
Mimina tui zito acha ichemke kwa dakika 5.....
Tayar kwa kuliwa
Nb hayo matui yasiwe mengi kutokana na boga ni laini kuiva ..
Hii si futari lakin natamani kujua ladoo jamani. Mi nimegonga mikono chini yaani siziwezei kabisaa..
Aweke na vanilla ya vijiti km mbili litazidi kunoga.. Mi sikua mlaji wa hii kitu lkn nna czn wangu mashallah Mungu kamjaalia mkono kwenye upishi alilipika hili nikala hadi leo nimekua mpenzi!
Mrs Kharusy kuna boondi,coconute na peanut ladoo sijui next time utahitaji ipi..
Ha ha ha zoote. Asante ntajaribu recipe hio . Kwa hio sukar kavu sio shira?
nashkuru kwa recipe hii, ntajaribu best insha'hMahitaji
Boga
Sukari
Tui jepesi la nazi
Tui zito
Hiliki
Namna ya kutaarisha
Menya boga lako then katakata vipande
Lichemshe na maji kwa muda mdogo kama dakika 15 alafu mwaga maji....
Weka tui jepesi na hiliki
Weka sukar
Wacha ichemke
Mimina tui zito acha ichemke kwa dakika 5.....
Tayar kwa kuliwa
Nb hayo matui yasiwe mengi kutokana na boga ni laini kuiva ..
nashkuru kwa recipe hii, ntajaribu best insha'h