Futari ipi uipendayo

Futari ipi uipendayo

Hii si futari lakin natamani kujua ladoo jamani. Mi nimegonga mikono chini yaani siziwezei kabisaa..
 
Nilivoona heading, nikakimbilia mbio, haaaaah! Kumbe mnafundishana kupika, sawa, ntaenda kumwambia yf mnachojadili!
 
mi naomba kufahamishwa namna ya kuandaa boga la nazi
 
mi naomba kufahamishwa namna ya kuandaa boga la nazi

Mahitaji

Boga

Sukari

Tui jepesi la nazi

Tui zito

Hiliki

Namna ya kutaarisha

Menya boga lako then katakata vipande

Lichemshe na maji kwa muda mdogo kama dakika 15 alafu mwaga maji....

Weka tui jepesi na hiliki

Weka sukar

Wacha ichemke

Mimina tui zito acha ichemke kwa dakika 5.....

Tayar kwa kuliwa

Nb hayo matui yasiwe mengi kutokana na boga ni laini kuiva ..
 
Aweke na vanilla ya vijiti km mbili litazidi kunoga.. Mi sikua mlaji wa hii kitu lkn nna czn wangu mashallah Mungu kamjaalia mkono kwenye upishi alilipika hili nikala hadi leo nimekua mpenzi!
 
Hii si futari lakin natamani kujua ladoo jamani. Mi nimegonga mikono chini yaani siziwezei kabisaa..

BESAN KE LADOO-ladoo ya unga wa dengu

Mahitaji

Besan (dengu) nusu

Sukari robo

Sooji (unga wa samolina ) 4 tablespoons

Hiliki 1 teaspoon

Arki ya rose kiasi

Almond (lozi) zilizokatwakatwa 4 tablespoon

Samli robo

Namna ya kutaarisha...

Katika karai mimina unga wa dengu na samolina changanya vizuri

Washa jiko na kaanga moto mdogo mdogo ili ziwe roasted vizuri

Mimina samli katika mchanganyiko wa unga na changanya vizuri na kuuvuruga unga kwa kutumia mwiko...

Kaanga kwa dakika 15

Toa wacha ipoe kidogo usiache ikapoa kabisa kabisa ladoo zitakua ngumu then mimina sukari,lozi,hiliki na arki..changanya

Tengeneza maduara ukubwa kiasi cha ndimu

Weka katika sahani tayar kwa kuliwa....
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    5.5 KB · Views: 882
Mrs Kharusy kuna boondi,coconute na peanut ladoo sijui next time utahitaji ipi..
 
Last edited by a moderator:
Aweke na vanilla ya vijiti km mbili litazidi kunoga.. Mi sikua mlaji wa hii kitu lkn nna czn wangu mashallah Mungu kamjaalia mkono kwenye upishi alilipika hili nikala hadi leo nimekua mpenzi!

Mpikie mkwe wangu si lazima la sukari waweza mtilia chumvi unamtilia na samaki na vegetables yaani katika vyakula vizuri na healthy kwa watoto boga na viazi vitamu vinaongoza mie namsubiria binti afike tu mda wa kula nimpikie hiyo kitu
 
Ha ha ha zoote. Asante ntajaribu recipe hio . Kwa hio sukar kavu sio shira?

Sukari isage kama ile tunayotia kwenye donuts

Ukitaka kufanya kwa shika fata step mpaka ya kuepua huo mchanganyiko wa unga

Kwenye sufuria weka sukari na maji kidogo tengeneza shira nzito au acha maji yakauke then changanya kwenye unga habar kwisha hiliki weka kabisa katika shira
 
Mahitaji

Boga

Sukari

Tui jepesi la nazi

Tui zito

Hiliki

Namna ya kutaarisha

Menya boga lako then katakata vipande

Lichemshe na maji kwa muda mdogo kama dakika 15 alafu mwaga maji....

Weka tui jepesi na hiliki

Weka sukar

Wacha ichemke

Mimina tui zito acha ichemke kwa dakika 5.....

Tayar kwa kuliwa

Nb hayo matui yasiwe mengi kutokana na boga ni laini kuiva ..
nashkuru kwa recipe hii, ntajaribu best insha'h
 
Back
Top Bottom