Futari ipi uipendayo

Out of topic, jamani natafuta Al udi nzuri...anayejua anitajie jina na bei ikiwezekana...

cc; farkhina Mrs Kharusy Honey Faith FaizaFoxy na wengineo.

Tafuta inaitwa arba wardat ni nzuri tu



Na kuna lotion zake zina harufu ya udi pia zaitwa maryam,nafeesah na lamsa hizi sio ghali kabisa it depend na uwezo wako.....

Kuna udi pia simple unaitwa bint el arab mzuri tu hata badar pia nzuri . Ntakutumia picha zale usijal
 
Last edited by a moderator:
jaman watu wanajua kupika hadi raha........................ hongereni

mie ftari yoyote nakula ila napenda uji usikosekane ule wa umewekwa ka ukwaju fulan

Inavyoonesha unapenda vilivochapuka (vilivokolea ndimu)
 

unitumie na mimi.....

hivi Dar sehem gani wanauza marashii my dear.....
 
Ujii tafadhali,tuanzie tu hapo maana nina list ndefuu
 
Reactions: BAK

Asante sana Somo yangu...manake mwari napenda kunukia hatari...

Huwa natumia udi wa kuchoma, natumia na kitezo cha umeme...jana si ndo ukakatika siku nzima....nilinunajeeeee!
Bora nitumie al udi...
 
Asante sana Somo yangu...manake mwari napenda kunukia hatari...

Huwa natumia udi wa kuchoma, natumia na kitezo cha umeme...jana si ndo ukakatika siku nzima....nilinunajeeeee!
Bora nitumie al udi...

Kuna kitezo cha umeme?I wish nikione.Vipi vinapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…