Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Kuna kitezo cha umeme?I wish nikione.Vipi vinapatikana wapi?
Angalia vikiwa fake unatumia siku moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitezo cha umeme?I wish nikione.Vipi vinapatikana wapi?
Angalia vikiwa fake unatumia siku moja tu
Uji wa nini? Kuna wa ngano nzima,oats,mchele,shurba,sembe,muhogo unataka upi
Kuna kitezo cha umeme?I wish nikione.Vipi vinapatikana wapi?
Jamani nimetamani nikinunue.Vinapatikana wapi mumie?
Mimi napenda lotion ya 'Maryam' habibty. Harufu yake sio kali sana
Jamani nimetamani nikinunue.Vinapatikana wapi mumie?
Asante sana Somo yangu...manake mwari napenda kunukia hatari...
Huwa natumia udi wa kuchoma, natumia na kitezo cha umeme...jana si ndo ukakatika siku nzima....nilinunajeeeee!
Bora nitumie al udi...
Usisahau na wa kwetu Comoros uji wa tapo
Asante sana Somo yangu...manake mwari napenda kunukia hatari...
Huwa natumia udi wa kuchoma, natumia na kitezo cha umeme...jana si ndo ukakatika siku nzima....nilinunajeeeee!
Bora nitumie al udi...
Out of topic, jamani natafuta Al udi nzuri...anayejua anitajie jina na bei ikiwezekana...
cc; farkhina Mrs Kharusy Honey Faith FaizaFoxy na wengineo.
Hahahaha atavimaliza vyote lakini saumu ukiwa kali waishia kunywa mimaji tu hata huwezi kula
Usisahau na wa kwetu Comoros uji wa tapo
Leo vipopoo, choroko za nazi, tambi za kukaanga, chapati kwa mchuzi wa king fish vipo?
Al Oud nzuri Tanzania huipati, sijapatapo kununua Tanzania. Al oud nzuri uiagize Saudi Arabia au Oman. UAE vilevile lakini huko wahindi wanabambikia.
Hapa au Unguja utapata lakini ni the lowest quality.
Hapana leo chapati za maji,samaki wa kukaanga,mchemsho wa kuku na ndizi,tambi na ndizi mzuzu zilokolea nazi na custard....nlualike nini?
lol!!!!! hahahaha weye unauliza majibu? Uliza maswali banaaa 🙂🙂
Hahahahahha sawa karibu sana uje na mabakuli ukimaliza ufunge vya vyengine
Kim nana hizo nlokwambia ni affordable kabisa ila unatakiwa uwe na udi mzuri sana alafu unachanganya na nyengine alafu unahifadhi kwenywe chupa ya kigae.....
Kuna haliudi zile ndogooo kama unazo ambayo unaona harufu yake kali sana huwezi pakaa unachukua pamba kiasi unaroesha na haliudi alafu wakati unafukiza udi unaiweka na hiyo kwenye chetezo utapendaa...