Futari ipi uipendayo

Napenda ya mihogo iliyoungwa nyanya na nazi,actually najua kuipika hii tu...kumbe waislamu mnafaidi hivi..na sie twajipikilisha as if tumefunga,lols
 
Napenda ya mihogo iliyoungwa nyanya na nazi,actually najua kuipika hii tu...kumbe waislamu mnafaidi hivi..na sie twajipikilisha as if tumefunga,lols

Vyakula mbona havichagui dini shosti......ila tu hapa kila mtu amependekeza nini anapenda jwa ajili ya iftar hata wewe unaweza jipikia.....

Karibu jf chef
 
Jamani mwenzenu nimepika kachori jmosi na zikafunguka kwenye mafuta.........loh sina hata hamu...:sad::sad::sad:
 
Jamani mwenzenu nimepika kachori jmosi na zikafunguka kwenye mafuta.........loh sina hata hamu...:sad::sad::sad:

Pole sana next time tumia unga wa dengu,au huwa wa ngano weka na yai....

Usidumbukize hadi mafuta yawe yamepata moto vizur
 
Reactions: Kbd

Naweza unga chumvi kidogo badala ya sukari?
 
Pole sana next time tumia unga wa dengu,au huwa wa ngano weka na yai....

Usidumbukize hadi mafuta yawe yamepata moto vizur

Asante sana dia ila nitumia yai na unga wa ngano kidogo na hata viazi vyenyewe baada ya kuviponda vilikua vilaini na vinashika mkononi.
 
Asante sana dia ila nitumia yai na unga wa ngano kidogo na hata viazi vyenyewe baada ya kuviponda vilikua vilaini na vinashika mkononi.

Pole....

Mrs Kharusy jaan hebu mwambie shoga etu ile siri ya viazi vya katles au kachor
 
Last edited by a moderator:
Asante dia.......nasubiri maelekezo kutoka kwa Mrs Kharusy maana jmosi lazima nipike tena mpaka niweze sikubali

Hem jaribu kutumia viazi vyenye maganda meupe. Na unga wako wa kuchomea nje usiwe mwepesi sana
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Kbd
Jamani mwenzenu nimepika
kachori jmosi na zikafunguka kwenye mafuta.........loh sina hata
hamu...:sad::sad::sad:

mh pole, yashankuta hayo skumoja, lakini nkagundua unga ulikua mwepesi mno
 
Reactions: Kbd
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…