Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Sijawahi kufikiria hiyo njia...Nakushukuru sana habibty....
Tuko pamoja mpnz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kufikiria hiyo njia...Nakushukuru sana habibty....
Mimi naweka mkaa wangu kwenye jiko la gas dkk 5 nyingi moto ushashika.
Hiki hapa chetezo unaweka mkaa ukimaliza unasafisha
Haswaaaa jaan...ila usiwe na mtt mwenye pirika akikiona umeumia..kinavunjwa dkk nyingi
View attachment 172229Nami nlijua kapiga kwako siku alopata mwaliko.
Kabla hatujawa Mr and Mrs
Napenda ya mihogo iliyoungwa nyanya na nazi,actually najua kuipika hii tu...kumbe waislamu mnafaidi hivi..na sie twajipikilisha as if tumefunga,lols
Jamani mwenzenu nimepika kachori jmosi na zikafunguka kwenye mafuta.........loh sina hata hamu...:sad::sad::sad:
Mahitaji
Boga
Sukari
Tui jepesi la nazi
Tui zito
Hiliki
Namna ya kutaarisha
Menya boga lako then katakata vipande
Lichemshe na maji kwa muda mdogo kama dakika 15 alafu mwaga maji....
Weka tui jepesi na hiliki
Weka sukar
Wacha ichemke
Mimina tui zito acha ichemke kwa dakika 5.....
Tayar kwa kuliwa
Nb hayo matui yasiwe mengi kutokana na boga ni laini kuiva ..
Naweza unga chumvi kidogo badala ya sukari?
Pole sana next time tumia unga wa dengu,au huwa wa ngano weka na yai....
Usidumbukize hadi mafuta yawe yamepata moto vizur
Asante sana dia ila nitumia yai na unga wa ngano kidogo na hata viazi vyenyewe baada ya kuviponda vilikua vilaini na vinashika mkononi.
Thank ht ckujua km dove wana shower gels
Nilijua sabuni ua kawaida tu
Unaweza. Pika kama mchuzi tamu pia
Hiyo shower gel?
Asante dia.......nasubiri maelekezo kutoka kwa Mrs Kharusy maana jmosi lazima nipike tena mpaka niweze sikubali
Jamani mwenzenu nimepika
kachori jmosi na zikafunguka kwenye mafuta.........loh sina hata
hamu...:sad::sad::sad: