sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Sawa baby😍Acha nyegere wrwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa baby😍Acha nyegere wrwe
Tobaaa
Oya acha kunifuatilia.Maghayo ana ban 😁
Ungesema ni mlo wa kwanza kwa wanaofungulia katika mfungo wa Kiislamu, kifungua kinywa ni breakfast.Futari = kifunguwa kinywa kwa waliofunga.
Ambao hawajafunga wanakula hawafuturu.
Ungesema ni mlo wa kwanza kwa wanaofungulia katika mfungo wa Kiislamu, kifungua kinywa ni breakfast.
Futari ni chakula ambacho muislam aliefunga anakula baada ya jua kuzama. Ktk familia zetu waislam huwa tunakaa pamoja kwa ajili ya kula kwa hivyo hata watoto na wenye udhuru wa kufunga kama wajawazito , wagonjwa, wazazi , na wenye udhuru unaokubalika kisheria hujumuika nao. Hio futari.Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE
Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?