Futari nyumbani kwa Hamza Aziz siku aliyowaeleza wageni wake kisa chake akiwa Inspector Geneal Of Police ( IGP) alipokataa kutii amri kutoka juu

Mkuu Dar City, kwanza namheshimu sana Mkuu Maalim Mohammed Said, pili nakitambua kipaji chake, uwezo wake wa kusimulia visa na kikubwa zaidi, naifahamu power zake alizonazo ambazo ana zi impart kwenye maandishi yake.

Tatizo langu mimi ni mkweli daima, toka ndani ya nafsi yangu, hivyo nikikutana na hoja yoyote iliyovikwa urongo, kazi yangu sio kum discredit, bali kazi yangu ni kusema tuu kuwa jambo hili ni urongo.

Mfano wa juzi kati, harakati za zilinashibishwa na dini fulani na kuelezwa kuwa watu wa dini fulani ndio waanzilishi, niliwawekea humu kuanzia mwanzilishi wa AA, TAA na TANU, hakuna hao watu wa dini hiyo.

Pia nimemsikia akisema ndani ya Bunge la JMT, wabunge Waislamu ni only 6%, kitu ambacho ni urongo wa mchana kweupe, kwasababu wabunge wote wa Zanzibar ni Waislamu, hao tuu wenyewe ni over and above hiyo 6%. Uwongo kama huo sio wa bahati mbaya, ni planned for some specific motives behind, Maalim anaijua, na sisi wasomaji wa in between the lines, unaweza ukasoma kitu halafu ukaijua the state of mind ya mwandishi alidhamiria nini ili apate nini!.

P
Mkuu nafurahi kusoma ulichoandika seems your a gifted.
 
'… kuripoti on time…' on time ni muda gani?, sababu za kuto rpoti on time unazifahamu?,

Mambo ya kukurupuka kwny Maamuzi hado kugharimu Taifa Mamilion yamerithiwa toka kitambo
Kitendo cha kugonga mtu na kushindwa kuripoti on time tena akiwa askari anayejua sheria kinamuondolea sifa ya uadilifu
 
Kisa kizuri hiki cha Hamza Aziz, huyu ni miongoni mwa Watanzania wachache sio tuu waadilifu, bali pia, wanaojua haki zao.

Akiwa IGP, aliwahi kugonga mtu, akaua, hakuripoti on time, Nyerere akakasirika, akamtimua kazi kwa summary dismisal, unakosa haki zako zote.

Huyu jamaa akafungua kesi kuishitaki serikali, mtu huwezi kufutwa kazi kwa traffic ofence, akashinda, serikali ikaamriwa kumlipa haki zake zote na fidia, akavuta fungu la maana, akawa tajiri.

Mwalimu Nyerere aliogopwa kama Mungu na serikali pia iliogopwa, who would dare challenge him?. Hamza Aziz did.

P
Hii naona mzee wangu Mohamed Said hakusimuliwa,hata kwenye comments zilizofuata hajajibu chochote! Anyways Merry Christmas to all Pascal Mayalla and Mohamed Said the senior
 
Zamani humu JF kulikuwa na Jukwaa la vibwaga vya wakubwa, likaja kufutwa!.
Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.

IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiina kabisa umejizaa lakini bado unakataa, Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!. Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.

Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea, akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4×4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.

Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!. Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.

Merry Christmas!.

Aysee! Dunia ina mengi sana! Huyo mkubwa bado yupo hai kweli?
 
Hakuwa Askari huyo, Askari aliyeiva akiambiwa kamkamate flani Ni mdhambi. Bila swali Ni kujibu ndio mkuu na kuelekea eneo la tukio.
Nb. Mzee Mohamedi Aziz alikudanganya kukidhi maslahi yako ya kidini coz we Ni mwandishi mdini isivyo kawaida. Kukataa amri ya kijeshi Ni kosa lisilosameheka. Labda Kama utaniambia Hamza baada ya Jambo Hilo alijiuzulu ama kuondolewa kule juu.
Bahati nzuri kwa nchi Kama hii Ni Jambo la kushukuru Kwamba watu Kama wewe hamtapewa Madaraka makubwa coz mtaendekeza udini bila kificho.

Lakini pia Kama Ni kweli, kutoa kwake siri hiyo tena kwa raia asiye na uzoefu wowote na taaluma ya polisi Ni kosa kimaadili dhidi JMT.
 
Adv.Mayala case kama kwa sheria zetu unaweza kumrudisha huyu suspect mahakamani na kushitakiwa tena?,even ile private prosecution?
 
Huu ni upumbavu at its best, sheria ipi imevunjwa hapo?,maadili ?acha kutishia watu na uzuzu huu,IGP Hamza alikua right kukataa maana Ali apply his mind akaona hakuna ushahidi wa kisheria kuwa Mufti ana treason case, tatizo la nchi hii ni kuwa na wapumbavu wengi na waoga, udini hapo haupo na binafsi ni muumini wa mizimu na sioni udini wowote hapo
 
Mkuu Nkanini , ni kweli jinai huwa haifi, japo ile case iliendeshwa kama road traffic offence lakini the proper case was 1st degree murder, na hukumu yake ni kunyongwa mpaka kufa!.

Ila hapa Bongo kuna watu ni untouchables, ukiwagusa una just vanishes into thin air!, who would dare prosecute him?!.

Hapo ni kuiachia karma...

Tumekosa nini sisi watanzania?,why tumeshindwa kuwafanya hawa watawala wetu kuwajibika kwetu?,this monster he got away with murder, it's crazy, na tatizo kubwa ni hawa middle class wapumbavu, ambao wamekua waoga uliotawaliwa na uzuzu, eti IGP hakua askari na alivunja maadili ya kipolisi!,comment kama hii inakatisha tamaa kabisa kuhusu nchi yetu hii,anyway thanks Adv.Mayala na karibu sana huku lingusenguse
 
Zamani humu JF kulikuwa na Jukwaa la vibwaga vya wakubwa, likaja kufutwa!.
Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.

IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiina kabisa umejizaa lakini bado unakataa, Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!. Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.

Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea, akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4×4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.

Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!. Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.

Merry Christmas!.
P
Nakumbuka siku ile namm nilikuw aasbh mapema natoka chuo kwenda home kawe nikapita mita hyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hakuwa Askari huyo, Askari aliyeiva akiambiwa kamkamate flani Ni mdhambi. Bila swali Ni kujibu ndio mkuu na kuelekea eneo la tukio.
Nb. Mzee Mohamedi Aziz alikudanganya kukidhi maslahi yako ya kidini coz we Ni mwandishi mdini isivyo kawaida. Kukataa amri ya kijeshi Ni kosa lisilosameheka. Labda Kama utaniambia Hamza baada ya Jambo Hilo alijiuzulu ama kuondolewa kule juu.
Bahati nzuri kwa nchi Kama hii Ni Jambo la kushukuru Kwamba watu Kama wewe hamtapewa Madaraka makubwa coz mtaendekeza udini bila kificho.

Lakini pia Kama Ni kweli, kutoa kwake siri hiyo tena kwa raia asiye na uzoefu wowote na taaluma ya polisi Ni kosa kimaadili dhidi JMT.
Sela...
Sikulaumu kwa maneno yako wala sikulaumu kwa kuniita mimi mdini.
Sikulaumu kwa kuwa huijui historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hisstoria uliyosomeshwa watayarishaji wake walifuta historia ya kweli wakapachika historia siyo.

Katika historia siyo hakuna mchango wa Waislam wa Tanganyika katika kuunda kwanza African Association mwaka wa 1929 kwa kuwa ulifutwa kwa hofu wala hukusoma mchango wa Waislam katika TAA kuanzia 1948 hadi kuundwa kwa TANU 1954.

Hii iliyofutwa ni historia ya wazee wangu.
Mimi naijua vyema.

Nilipogundua kuwa historia ya TANU imebadilishwa kwa kuhofu historia ya Uislam na Waislam ndani ya harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika ndiyo nikanyanyanyua kalamu kuiandika.

Kitabu nikakipa jina, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' (1998).

Mimi kwa kufanya hivi umeniita mdini.

Kitabu hiki ndicho kilichobadili historia nzima si ya Nyerere tu bali historia nzima ya uhuru wa Tanganyika.

Inanishangaza kuwa wale waliofuta historia ya wazee wangu na jamii yangu umewaona wako sawa ila mimi niliyeandika historia ya kweli ni mdini kwa sababu nimetaja historia na mchango wa Waislam na Uislam.

Vipi kuhusu wale waliofuta historia ya kweli?

Hawakusukumwa na hisia za dini yao kufuta historia ya jamii yenye imani tofauti na yao?

Humjui Hamza Aziz na uhusiano wake na Nyerere.
Wala hujui nini kilitokea baada ya uhuru kupatikana.

Labda umesikia kijuujuu tu uhusiano wa Dossa Aziz kaka yake Hamza na Julius Nyerere.

Sikulaumu kwa kukosa kujua haya kwani yote yalifutwa.
Ungejuaje?

Yawezekana kabisa wala humjui Abdul Sykes na mdogo wake Ally na Abbas na pengine hata hujui kuwa baba yao Kleist Sykes ndiye muasisi wa AA na kaacha mswada wa kitabu.

Mswada uko Maktaba ya Chuo Kikuu na ni kutoka Idara ya Historia ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam toka mwaka wa 1968.

Historia uliyosomeshwa ni kuwa historia ya TANU inaanza na Julius Nyerere.

Uliamini historia hii kwani hukupata kusomeshwa kuwa historia ya TANU kuundwa kwake haiwezekani kuandikwa bila kumtaja Hamza Mwapachu na Abdul Sykes kwani huyo Nyerere kapokewa na Abdul na Ally Sykes na kuna mengi yalipitika hadi Nyerere kupewa nafasi ya juu ya uongozi katika TAA 1953.

Hamza Aziz wakati huo yupo na kaona yote.

Sheikh Hassan Mufti wa Tanganyika aliunga mkono uteuzi wa Nyerere katika TAA.

Uhuru ulikuja na changamoto nyingi na mojawapo ni hii njama ya kuwafuta katika historia ya TANU wazalendo mfano wa Hamza Mwapachu, Abdul na Ally Sykes, Dossa Aziz, Sheikh Hassan bin Ameir na nakutajia hawa kwa kuwa nimekutajia lakini wako wazalendo wengi kutoka majimboni.

Hamza Aziz alikuwa anajua kuwa mimi naandika historia ya TANU historia ambayo yeye na kaka yake Dossa na wazalendo wengine ni sehemu yake.

Hili ndilo lililomfanya Hamza Aziz aniondolee pazia na kunieleza mengi.

Haya ndiyo yaliyomfanya Ally Sykes anikabidhi hazina ya nyaraka alizokuwanazo kuhusu AA, TAA na TANU na kunihadithia historia ya Julius Nyerere na uhusiano uliokuwapo baina ya Nyerere na Hamza Mwapachu, Abdul Sykes na wazalendo wengine wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.

Sikuishia hapo nilisafari kwingi Tanganyika kuwatafuta wapigania uhuru na nikazungumzanao.

Nilipomaliza nikaandika kitabu.
Leo nakusomesheni upya historia ya TANU na historia ya Nyerere.

Hakuna somo la dini katika historia hii ila utaona mchango mkubwa wa Waislam kama ulivyokuwa.

Kukamatwa kwa Sheikh Hassan bin Ameir na kuvunjwa kwa East African Muslim Welfare Society (EAMWS) kuzuia Waislam wasijenge Chuo Kikuu haikuwa siri.

Wala Hamza Aziz hakunidanganya kwani yote yakifahamika.
Uliodanganywa ni wewe ambae hukupata kuyajua haya niliyoeleza hapa.

Nakusomesha upya historia ya uzalendo na nimekuwekea historia na picha za wazalendo waliokuwa bega kwa bega na Nyerere.

1672092402550.png

Kulia ni Zuberi, Mtemvu, Julius Nyerere na John Rupia wakiwa kwenye tawi la TANU lililofunguliwa na Ali Msham nyumbani kwake mwaka wa 1954 na Ali Msham ni huyo wa pili kulia waliosimama.

Hao wengine ni vijana wa Bantu Group wahamasishaji umma na walinzi wa viongozi wa TANU.

1672093140599.png

Kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Titi Mohamed na wa kwanza kushoto ni Bi. Tatu bint Mzee wako na Nyerere wakimsindikiza Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam safari ya kwanza ya Nyerere UNO February 1955.
 
Huu ni upumbavu at its best, sheria ipi imevunjwa hapo?,maadili ?acha kutishia watu na uzuzu huu,IGP Hamza alikua right kukataa maana Ali apply his mind akaona hakuna ushahidi wa kisheria kuwa Mufti ana treason case, tatizo la nchi hii ni kuwa na wapumbavu wengi na waoga, udini hapo haupo na binafsi ni muumini wa mizimu na sioni udini wowote hapo
Achana makasiriko.
Soma,elewa, changia. (SEC)
Hajatishwa mtu hapo
 
Back
Top Bottom