TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Adriano mpaka leo nasikitia career yake, ila ndio hivyo.Dah Adriano alikua level za Ballon d'or aisee..Jamaa alivyompoteza baba ake akachanganyikiwa..Ilifika hadi time Mafia flani hivi mitaa ya sao paoulo ali msign Adriano achezee club yake ya kitaa...Huyo Don alikua ana ma casinos,clubs na srip joints kadhaa so malipo ya Adriano ya kawa kuchepuka na kupiga tungi za bure kwenye vitega uchumi vya jamaa!!
Kwasasa expectations nyingi Nampa Thiago Alcantara..Huyu dogo akiepuka tu injuries, dunia itashangaa!
Mkuu umewasahau
Bebe na gabriel obertan
Mkuu umewasahau
Bebe na gabriel obertan
hahaha mkuu umenikumbusha mbali sana David Bellion,djemba djemba alifilisikaga analalamika eti kipindi ana pesa aliwahi kusaidia watu hata asiowafahamuLuke Chadwick na matege yake Old Trafford wakajua wamepata star! Bellion(next Henry)..djemba djemba(next Roy keane)..
Adriano mpaka leo nasikitia career yake, ila ndio hivyo.
Thiago ameshaanza na mikosi, nadhani Rafinha ana nafasi ya kutoboa zaidi, aondoke tu barca.
Kurudi barca ndio iwe vipi? Barca hawakumthamini + Kama ana akili, atakuwa ameona na kujifunza yaliyomkuta Cesc.....Thiago anasubiri kurudi Barca, sahau Rafinha kuondoka Barca labda Sergi Roberto.
hahaha mkuu umenikumbusha mbali sana David Bellion,djemba djemba alifilisikaga analalamika eti kipindi ana pesa aliwahi kusaidia watu hata asiowafahamu
haha mkuu umemtaja mwape nikamkumbuka Robert Jama MbaWale majambazi wanaosajiliwaga na yanga.. Kongo na kataray miaka ya 2000.. Mwape vipi!?
Mbele kuna Chadwick.. Hahahahahah haki ya nani utd walijua wamepata
Vipi hawa wabrazili.. Pato,Robinho, Adriano.. Hata NABII pia...
Bebe hahahah.. Obertan.. Hivi mkuu Torres hafai hapa!?