Futbol's quickies

Futbol's quickies

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
Kuna wachezaji waliwahi kutokea wakatishia sana amani kwa wapinzani wao, ila kwa sababu fulani hawakufika mbali sana. Binafsi hawa jamaa ndio nilitarajia makubwa sana kutoka kwao
The Emperor, Adriano.
Milos Krasic yule wa Juve.
Robinho wakati ndo anakuja ulaya.
Pato wa Milan.
Philipe Mexes wa Roma.
Diego Ribas wa Werder Bremen.
Cicinho aliyetua Madrid.

Na wengine kibao ongezea.
 
1.Fred Adu
2.Nii Lamptey...Ghana
3.Klebeson/Andeson/Nani...M united
4.Ben Arfa
5.Anelka..Gunners-Madrid
6.Eddo Crisstopher...Simba
7.Zahoro Pazi
8.Faustino Aspirila...totoz za uk zimeua kipaji
9.Nasri
 
Nii lamptey mbona alicheza mpira katika kiwango kikubwa coz pamoja na kina pele na yeboh na frank amankwa walifika fainali mwaka 92 pia alikuwa anafanya vizuri kiasi chake akiwa na andeletch ya belgium sijui kama ni sahihi hiyo club baadae akaondoka na kwenda Italy.
 
Dah Adriano alikua level za Ballon d'or aisee..Jamaa alivyompoteza baba ake akachanganyikiwa..Ilifika hadi time Mafia flani hivi mitaa ya sao paoulo ali msign Adriano achezee club yake ya kitaa...Huyo Don alikua ana ma casinos,clubs na srip joints kadhaa so malipo ya Adriano ya kawa kuchepuka na kupiga tungi za bure kwenye vitega uchumi vya jamaa!!

Kwasasa expectations nyingi Nampa Thiago Alcantara..Huyu dogo akiepuka tu injuries, dunia itashangaa!
 
Adriano mpaka leo nasikitia career yake, ila ndio hivyo.

Thiago ameshaanza na mikosi, nadhani Rafinha ana nafasi ya kutoboa zaidi, aondoke tu barca.
 
Kuna Gio Dos Santos pia
Beñat wa Real Betis
Pastore kabla hajatua PSG
Bojan
Marek Hamsik
Ilkay Gundogan
Shinji Kagawa
Jack Wilshere
Mario Gotze?
Draxler?
Douglas Costa
Lisandro Lopez
Jerome Rothen alitesa sana na Monaco iliyofika final ya CL
Keisuke Honda
Super Mario?
 
Hapo miaka ya 2000's kuna mbrazil alikua anaitwa Mario Jadel..European golden boot alichukua kama mara 3 mfululizo..

Big phil akamtema kikosi cha WC 2002 na transfer yake yakwenda Madrid ika collapse.. Jamaa akaishia kubwia unga..pombe..msosi na totoz!
 
Luke Chadwick na matege yake Old Trafford wakajua wamepata star! Bellion(next Henry)..djemba djemba(next Roy keane)..
hahaha mkuu umenikumbusha mbali sana David Bellion,djemba djemba alifilisikaga analalamika eti kipindi ana pesa aliwahi kusaidia watu hata asiowafahamu
 
Adriano mpaka leo nasikitia career yake, ila ndio hivyo.

Thiago ameshaanza na mikosi, nadhani Rafinha ana nafasi ya kutoboa zaidi, aondoke tu barca.

....Thiago anasubiri kurudi Barca, sahau Rafinha kuondoka Barca labda Sergi Roberto.
 
....Thiago anasubiri kurudi Barca, sahau Rafinha kuondoka Barca labda Sergi Roberto.
Kurudi barca ndio iwe vipi? Barca hawakumthamini + Kama ana akili, atakuwa ameona na kujifunza yaliyomkuta Cesc.

Rafinha ataondoka eventually, saivi japo hapati nafasi sana, Lucho anampa moyo kwa sababu wametoka mbali. Lucho ataondoka ndani ya hii misimu miwili, the tension is too tense, halafu na dogo hatakuwa na sababu ya kubaki.
 
hahaha mkuu umenikumbusha mbali sana David Bellion,djemba djemba alifilisikaga analalamika eti kipindi ana pesa aliwahi kusaidia watu hata asiowafahamu

Hahaha bata hizo..hawa ndo wale walikua wanaenda kuchukua 80% ya mshahara friday..ikifika monday hawana kitu zaidi 20% ya ku survive hadi friday nyingine tena!! OT walimueka bango "he is so good they named him twice" djemba djemba!
 
Dos Santos
Bojan
Adu
Ben Arfa.
Super Mario hivi hawezi fufuka tena.?
 
Wale majambazi wanaosajiliwaga na yanga.. Kongo na kataray miaka ya 2000.. Mwape vipi!?
Mbele kuna Chadwick.. Hahahahahah haki ya nani utd walijua wamepata
Vipi hawa wabrazili.. Pato,Robinho, Adriano.. Hata NABII pia...
Bebe hahahah.. Obertan.. Hivi mkuu Torres hafai hapa!?
 
haha mkuu umemtaja mwape nikamkumbuka Robert Jama Mba
 
Kuna lawlance kazumari alikuja simba miaka ileeee
 
Back
Top Bottom