Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Hope mko poa guys
Iko hivi
Dada anamtoto mmoja wa kike ana 5yr aliezaa nae alishafariki
Sasa hv kaolewa na mwanaume mwingine hawajazaa bado wanakama miaka 2 wanaishi wote kiuhalali...
Kabla ya kuolewa na huyu mwanaume bidada alikua anaishi na mtoto wake...pia bidada alikua anaduka lake kubwa kias lakuweza kumpatia mahitaji yake yeye na mwanae
Baada ya kuolewa na huyu mwanaume kutoka mkoa mwingine ikabidi mtoto ampeleke Kwanza kwa Bibi ake akaenda kuishi na jamaa...ikabidi baadhi ya vitu dukan akaviuza vingine akahamisha ...maana asingeweza kuliacha sababu nimkoa wa mbali kidogo anapokwenda..
Mwaka mmoja baada ya kuolewa jamaa akamfungulia duka( pharmacy) wakaendelea na maisha
TATIZO..
Huyu Dada kaacha mtoto nyumban anaitaji kwenda shule pia anaitaji mahitaji madogo madogo na wakumtimizia maitaji ni mama ake mtoto yaan bidada maana baba yake alishafariki...tatizo linakuja jamaa anataka hesabu zote dukani anahakikisha hela haipotei hovyo
Pia nimbahili kiac kwamba hela yake anasomesha ndugu zake na kuhudumia kwao lkn mtoto wa bidada hana habar nae Wala matumiz ya mtoto hajigusi
Dada anawaza afanyeje maana anaona future ya mwanae inaharibika wakati anaolewa mwanae alikua anasoma eng medium( chekechekea) lkn mwaka huu kashindwa sababu hela ya ada hakuna
Bidada anaelim ya pharmacy alipata kazi ya kuajiliwa jamaa akakataa akae asimamie miradi ya familia( duka)
Ambapo bidada anaona duka halimsaidii sababu hapati chochote mtoto ni Kama kamtelekezea mama ake na shule ada imemshinda wkt before alikua anaishi vizuri na mtoto wake maana alimfungulia mpaka ac ya mtoto,,, Sasa hv kakomba hela zote kwenye ac ya mtoto na January shule hajui mwanae atasoma vp?
Anaomba ushaur afanyeje???
Jamaa anasomesha wadogo zake 2 na watoto wa marehem Dada ake 2 shule za maana
Jmn naomba tumshaur mi hata nashindwa nimsaidiaje?