Future ya mtoto wake ni kama inaharibika

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Hope mko poa guys
Iko hivi
Dada anamtoto mmoja wa kike ana 5yr aliezaa nae alishafariki
Sasa hv kaolewa na mwanaume mwingine hawajazaa bado wanakama miaka 2 wanaishi wote kiuhalali...

Kabla ya kuolewa na huyu mwanaume bidada alikua anaishi na mtoto wake...pia bidada alikua anaduka lake kubwa kias lakuweza kumpatia mahitaji yake yeye na mwanae

Baada ya kuolewa na huyu mwanaume kutoka mkoa mwingine ikabidi mtoto ampeleke Kwanza kwa Bibi ake akaenda kuishi na jamaa...ikabidi baadhi ya vitu dukan akaviuza vingine akahamisha ...maana asingeweza kuliacha sababu nimkoa wa mbali kidogo anapokwenda..

Mwaka mmoja baada ya kuolewa jamaa akamfungulia duka( pharmacy) wakaendelea na maisha

TATIZO..
Huyu Dada kaacha mtoto nyumban anaitaji kwenda shule pia anaitaji mahitaji madogo madogo na wakumtimizia maitaji ni mama ake mtoto yaan bidada maana baba yake alishafariki...tatizo linakuja jamaa anataka hesabu zote dukani anahakikisha hela haipotei hovyo

Pia nimbahili kiac kwamba hela yake anasomesha ndugu zake na kuhudumia kwao lkn mtoto wa bidada hana habar nae Wala matumiz ya mtoto hajigusi

Dada anawaza afanyeje maana anaona future ya mwanae inaharibika wakati anaolewa mwanae alikua anasoma eng medium( chekechekea) lkn mwaka huu kashindwa sababu hela ya ada hakuna

Bidada anaelim ya pharmacy alipata kazi ya kuajiliwa jamaa akakataa akae asimamie miradi ya familia( duka)

Ambapo bidada anaona duka halimsaidii sababu hapati chochote mtoto ni Kama kamtelekezea mama ake na shule ada imemshinda wkt before alikua anaishi vizuri na mtoto wake maana alimfungulia mpaka ac ya mtoto,,, Sasa hv kakomba hela zote kwenye ac ya mtoto na January shule hajui mwanae atasoma vp?
Anaomba ushaur afanyeje???

Jamaa anasomesha wadogo zake 2 na watoto wa marehem Dada ake 2 shule za maana
Jmn naomba tumshaur mi hata nashindwa nimsaidiaje?
 
Bidada akumuambia Mme wake kuwa ana mtoto? Kama alimficha kuwa ana mtoto ataanzaje kwa mfano kumwambia sasa hivi! Navyowafahamu wanaume kakuoa kwa hadhi ya msichana hajazaa alafu umuletee kuoa single mother ujue ndoa kwishne. Chakufanya ni kuomba Mme wake kuwa anaenda nyumbani kusalimia na asirudi mpaka Mme aamue kumfuata. Akija nyumbani amwambie ukweli kama anamtaka basi amuudumie na mwanae kama atakubari basi heri kama atakataa basi inakula kwako bidada. Kama mume alimuoa anajua ana mtoto huyo Mme lazima agharamie future ya huyo mtoto
 
Tatizo la wanawake wapo tayari kufanya chochote ili mradi aonekane ameolewa. Huyu kwavile hana mtoto na huyo bwana suluhisho ni kurudi kwao akalee mwanae.
 
Bidada akumuambia Mme wake kuwa ana mtoto? Kama alimficha kuwa ana mtoto ataanzaje kwa mfano kumwambia sasa hivi! Navyowafahamu wanaume kakuoa kwa hadhi ya msichana hajazaa alafu umuletee kuoa single mother ujue ndoa kwishne. Chakufanya ni kuomba Mme wake kuwa anaenda nyumbani kusalimia na asirudi mpaka Mme aamue kumfuata. Akija nyumbani amwambie ukweli kama anamtaka basi amuudumie na mwanae kama atakubari basi heri kama atakataa basi inakula kwako bidada. Kama mume alimuoa anajua ana mtoto huyo Mme lazima agharamie future ya huyo mtoto
Wakati anamchumbia bidada alikua anaishi na mtoto wake najamaa alikua anaenda kumsalimia bidada kwake anamkuta mtoto
 
Dogo anahabiharibikiwa hivo na hivi watoto wa kike wanavyokuwa haraka.
 
Wakati anamchumbia bidada alikua anaishi na mtoto wake najamaa alikua anaenda kumsalimia bidada kwake anamkuta mtoto
Basi ni simple! Bidada aga rudi kwenu! Mme kama anamtaka atoe matunzo ya mtoto! Kama hataki kwavile ni mke halali basi watengane wagawane mali? Kama vipi basi bidada ajifanye hazimo ampeleke kwao na baba yake marehemu
 
Yaani January hana Ada na ushauri ndio unaobwa leo

Anyway, akae na jamaa azungumze naye na amweleze kuhusu mahitaji ya "mtoto wao"
Hope mko poa guys
Iko hivi
Dada anamtoto mmoja wa kike ana 5yr aliezaa nae alishafariki
Sasa hv kaolewa na mwanaume mwingine hawajazaa bado wanakama miaka 2 wanaishi wote kiuhalali...

Kabla ya kuolewa na huyu mwanaume bidada alikua anaishi na mtoto wake...pia bidada alikua anaduka lake kubwa kias lakuweza kumpatia mahitaji yake yeye na mwanae

Baada ya kuolewa na huyu mwanaume kutoka mkoa mwingine ikabidi mtoto ampeleke Kwanza kwa Bibi ake akaenda kuishi na jamaa...ikabidi baadhi ya vitu dukan akaviuza vingine akahamisha ...maana asingeweza kuliacha sababu nimkoa wa mbali kidogo anapokwenda..

Mwaka mmoja baada ya kuolewa jamaa akamfungulia duka( pharmacy) wakaendelea na maisha

TATIZO..
Huyu Dada kaacha mtoto nyumban anaitaji kwenda shule pia anaitaji mahitaji madogo madogo na wakumtimizia maitaji ni mama ake mtoto yaan bidada maana baba yake alishafariki...tatizo linakuja jamaa anataka hesabu zote dukani anahakikisha hela haipotei hovyo

Pia nimbahili kiac kwamba hela yake anasomesha ndugu zake na kuhudumia kwao lkn mtoto wa bidada hana habar nae Wala matumiz ya mtoto hajigusi

Dada anawaza afanyeje maana anaona future ya mwanae inaharibika wakati anaolewa mwanae alikua anasoma eng medium( chekechekea) lkn mwaka huu kashindwa sababu hela ya ada hakuna

Bidada anaelim ya pharmacy alipata kazi ya kuajiliwa jamaa akakataa akae asimamie miradi ya familia( duka)

Ambapo bidada anaona duka halimsaidii sababu hapati chochote mtoto ni Kama kamtelekezea mama ake na shule ada imemshinda wkt before alikua anaishi vizuri na mtoto wake maana alimfungulia mpaka ac ya mtoto,,, Sasa hv kakomba hela zote kwenye ac ya mtoto na January shule hajui mwanae atasoma vp?
Anaomba ushaur afanyeje???

Jamaa anasomesha wadogo zake 2 na watoto wa marehem Dada ake 2 shule za maana
Jmn naomba tumshaur mi hata nashindwa nimsaidiaje?
 
Bi Dada mwenyewe ndiye huyu mtoa mada.

Dada tafuta namna muhudumie mwanao.

Tatizo la kutopata mtoto linatibika.

Nendeni kwa daktari wa uzazi mkapimwe ijulikane ni nini tatizo.

Ila inaonekana mwenye tatizo ni mwanaume.

Wanaume ni wagumu sana tukiambiwa kuwa hatuwezi kutungisha mimba.

Mshawishi mkapimwe.

Hakikisha mwanao anasoma kwa namna yeyote
 
Nimegundua ubinafsi!
Kama mama ulitakiwa uwe ki2 kimoja na mtoto, huyo jamaa alitakiwa akuaccept wewe pamoja n mtoto na sio vingine.
Kinachotokea sasa ni matokeo ya maamuzi ya kibinafsi uliyoyafanya toka mwanzoni (utamwachaje mtoto akati unapoishi anaweza akaishi pia)

Wewe uliitaji kufurahia ndoa yako mpya, unafikiri si haki ya mtoto kufurahia familia?? Ongea na jamaa mkae na mtoto ili iwe rahisi kumpa malezi, kama hataki inamaanisha hata wewe pia hakutaki.
 
Baada ya kukonnect dot na uz wa leo kumbe bidada mwenyewe n wewe mwenyewe
 
Hope mko poa guys
Iko hivi
Dada anamtoto mmoja wa kike ana 5yr aliezaa nae alishafariki
Sasa hv kaolewa na mwanaume mwingine hawajazaa bado wanakama miaka 2 wanaishi wote kiuhalali...

Kabla ya kuolewa na huyu mwanaume bidada alikua anaishi na mtoto wake...pia bidada alikua anaduka lake kubwa kias lakuweza kumpatia mahitaji yake yeye na mwanae

Baada ya kuolewa na huyu mwanaume kutoka mkoa mwingine ikabidi mtoto ampeleke Kwanza kwa Bibi ake akaenda kuishi na jamaa...ikabidi baadhi ya vitu dukan akaviuza vingine akahamisha ...maana asingeweza kuliacha sababu nimkoa wa mbali kidogo anapokwenda..

Mwaka mmoja baada ya kuolewa jamaa akamfungulia duka( pharmacy) wakaendelea na maisha

TATIZO..
Huyu Dada kaacha mtoto nyumban anaitaji kwenda shule pia anaitaji mahitaji madogo madogo na wakumtimizia maitaji ni mama ake mtoto yaan bidada maana baba yake alishafariki...tatizo linakuja jamaa anataka hesabu zote dukani anahakikisha hela haipotei hovyo

Pia nimbahili kiac kwamba hela yake anasomesha ndugu zake na kuhudumia kwao lkn mtoto wa bidada hana habar nae Wala matumiz ya mtoto hajigusi

Dada anawaza afanyeje maana anaona future ya mwanae inaharibika wakati anaolewa mwanae alikua anasoma eng medium( chekechekea) lkn mwaka huu kashindwa sababu hela ya ada hakuna

Bidada anaelim ya pharmacy alipata kazi ya kuajiliwa jamaa akakataa akae asimamie miradi ya familia( duka)

Ambapo bidada anaona duka halimsaidii sababu hapati chochote mtoto ni Kama kamtelekezea mama ake na shule ada imemshinda wkt before alikua anaishi vizuri na mtoto wake maana alimfungulia mpaka ac ya mtoto,,, Sasa hv kakomba hela zote kwenye ac ya mtoto na January shule hajui mwanae atasoma vp?
Anaomba ushaur afanyeje???

Jamaa anasomesha wadogo zake 2 na watoto wa marehem Dada ake 2 shule za maana
Jmn naomba tumshaur mi hata nashindwa nimsaidiaje?
 
Toka lini mwanaume akajali mtt wa mwenzie?! Hao ni 1 kwa 10 apambane ahangaike na mwanae wala asimtegee huyo mume mifano ni mingi jaman alishindwa kujifunza kwa kutazama wengine?!
 
Back
Top Bottom