Fuvu la binadamu ndani ya Ofisi ya Diamond

Fuvu la binadamu ndani ya Ofisi ya Diamond

Magazeti ya kiu ndo yana mada za kipuuzi kama hizi kaombe kazi utapata
 
Kama la mjusi au Mbuzi sawa lakini binadamu ambae ana ndugu na jamaa labda Watoto ni swali la kujiuliza alikufaje? Ni nani? Hapo polisi watafuatilia tu

Huwezi kuweka fuvu la binadamu ukasema ni pambo kama mapambo mengine.

Ana moyo kuweka skull mezani, I don't buy that crap

Kitu kimetengenezwa cha gold kile, sio fuvu la mtu lile..
 
Wadaku na Habari zao ,na wanapata wateja, magezeti yana nunulika maisha yanasonga
 
jamaa katoka mnaanza kurelate mafanikio yake na uchawi mara freemason hayo yote ni umbea tu watu wafanye kazi mshikaji katoka mbali muacheni afanye yake
 
Shigongo bwana Habari zake utafikiri hadithi za mama na mwana enzi za Deborah mwenda.
 
Watanzania tutazidi kuwa masikini tu. Tunamwombea nini mtanzania mwenzetu? Kwa akili ya kawaida uchawi huwekwa mezani tena ofisini ili kila anaeingia auone? Endeleeni na umbea wenzenu wanajituma na wanatusua.
 
Back
Top Bottom