Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

Na ile sory ya jamaa yetu Silas Mayunga(Mti Mkavu)-hata sijui yuko wapi siku hizi- ni za kweli?

Hili jina GEROMINO linahusiana vipi na operesheni ya kule Afghanistani GEROMINO EKIA ya kumuuwa Osama?

cc: Guru Master
 
Asant kwa maelezo murua mkuu. Huyu Tamuz nilikuwa sijapata kumfahamu vizuri.
Hapa itabidi nikaipitie kwa umakini ile filamu ya Gods Of Egypt.

Ina maana kwa kuwa Isis alikuwa mumgu mwezi na ndie mungu wa uzao.
Pasaka ilitokana na muda wa mavuno uliohusiana na mwezi. Je, Pasaka ni sikukuu ya kipagani iliyotokana na hawa Wababeli na si Yesu kufufuka?

Kutokana na kuuwawa na baadae kuzikwa kwa Nimrodi, je kuna uhusiano wowote hapo na krismasi?
 
kuna mahali nimesema "alikuwa mweusi kama mimi na wewe" yaani na nywele kama kipilipili....

Nadhani umenielewa....
Mkuu niliwahi kusikia story ya kitabu kinachoitwa "The coming forth by day and night" kinachozungumzia hilo pamoja na kudai bikira Maria aliishi/alipalizwa maeneo ya Zaire ya sasa.

Je ni ubuyu au kweli kipo au ni ubuyu tu maana nilipotaka kukiona yalitoka maelezo marefu kuliko nini sijui!!
 
Tutazidi kusema secret societies na kufuatilia mengi lakini at the end, tujiulize what's inside? Kwa sababu haiwezekani kikundi cha watu kikaamua kutengeneza taasisi ya kisiri na mafundisho ya siri kama hayo mafundisho are nothing to them. Lazima pia kuna elimu fulani ambayo jamii fulani zimekuwa zikiitafuta na kuificha.

Nasi tuitafute kwanza elimu hiyo. Ndicho kiini na ndicho kinachopaswa sana. Ili mwisho wa safari yetu ya maisha tuwe tumegundua jambo fulani. Kufahamu kuhusiana na chama fulani na mabaya au mazuri haitatosha katika kutupa mwanga wa maisha. Bali pia tufahamu elimu nyingi zilizopo na ambazo tunaweza kuzitumia katika maisha yetu na kujifunza jambo. Siamini kila taasisi ya kisiri ina mabaya ya kujifunza tu katika elimu yake. There must be something.
 
Mkuu,ukweli ni kwamba sielewi kama ni kweli au vipi....

Lakini mkuu nikushauri tu kuwa usidharau chochote katika dunia hii hasa kile kinachodharauliwa na wanaojulikana kuwa ni "wasomi"...
 
Umeshauri jambo la msingi kweli kweli....

Lakini huwezi kufikia hapo kama hujajua kuna kitu kinafichwa na hadi ujuwe hayo ni hadi ujuwe kuna mambo hayaendi kama inavyopaswa yaende....

Kwa upande wangu ninafahamu hiyo elimu ni ipi na elimu hii waliipoteza kwenye tukio kubwa sana lililowahi kutokea huko nyuma....

Harakati hizi ni kurejea elimu ile ili waweze kufanya kama walivyofanya na kutaka kukamilisha harakati zao....

Bahati mbaya kabisa ni kwa mba,kwa taarifa nilizonazo ni kwamba wako katika harakati za kumalizia kukusanya na kuipata elimu hiyo na inawezekana hadi sasa wameshaipata....

Kama ni hivyo,ni hatari kweli kweli maana watataka kutekeleza kile walichoshindwa wakati ule na kwakuwa elimu hiyo watakuwa nayo basi ni muda mfupi sana watakamlisha....

Elimu hiyo iliitwa "Forbidden knowledge" kwakuwa hatukustahili kuijuwa....
 
Mkuu,Pasaka siyo sikukuu ya kipagani isipokuwa kipindi cha kale kule Babeli kulikuwa na sikukuu ya mungu mke ambayo ilikuwa inasherekewa kipindi ha mavuno ambachoni mwezi wa nne,sikukuu hii ilikuwa ni ya mungu mke aliyejulikana kama Astarte/Ishtar ambayo kwa Kiingereza ni Easter ilirejea jina lile lile la mungu mke lakini hapo ni kwa Kiingereza.Baada ya ujio wa Ukristo sikukuu hii ilibadilishwa na kuitwa sikukuu ya kufufuka Masihi lakini jina lake likawa lile lile kwa Kiingereza na huku kwenye Kiswahili tukaiita Pasaka kwakuwa inasherekewa kufufuka kwa Masihi ambaye ni Pasaka kwetu...

Sikukuu hii na kipindi ambacho inasherekewa ni tofauti na kipindi ambacho chimbuko na sikukuu ya Pasaka ambayo ilitokea kwa Wayahudi. Ukisoma kitabu cha Kutoka nadhani kuanzia mstari wa 8 utaona sikukuu zote zikionekana pale na vipindi vya kusherekewa....

Kuna baadhi ya maelezo kuwa sikukuu hii iliamuliwa kusherekewa kipindi cha sikukuu ya wapagani ili kuwaondoa huko.Hili siyo jambo jema pia kwasababu hupaswi kufanana na mwenye dhambi ili umpate bali anapaswa afuate taratibu za ibada ya Mungu...

Krismass nayo iko hivyo na zaidi.Tarehe 25 mwezi wa 12 ilikuwa ni sikukuu ya kuzaliwa mungu jua.Hiki kilikuwa ni kipindi ambacho jua lilikuwa linaanza kuonekana tena baada ya kipindi cha baridi kali kuisha.Kilikuwa ni kipindi cha kuanza kulima na kupata mavuno ambayo yalikuwa yanavunwa mwezi wa nne...

Kwakuwa jua lilikuwa linaanza kuonekana baada ya kipindi kirefu,waliita kipindi cha "kuzaliwa upya jua" na ndivyo ilivyokuwa.Kama ilivyokuwa kwenye Easter,ndivyo ilivyokuja kuwa kwenye Krismass.Waliibadili kutoka kuzaliwa mungu jua hadi kuzaliwa kwa Masihi,lakini jina lilibaki lile lile la kale....

Sikukuu hizi hazina historia nzuri kwakweli....
 
Kaka nimekuelewa sana.swali hivi tukishayajua haya tutafanyaje maana wao ndo wanaongoza ulimwengu.je kunambadala wa kupingana nao?

Mbadala ni kupambana na hali yako tu.
 

1. Mnasema watu weusi ndo viumbe halisi wa Mungu.
2. Watu wenye ngozi nyeupe ni wanefili na wamefanya jitihada nyingi kumaliza watu weusi na "soon lengo lao litatimia".
3. Kama viumbe weusi ndo watu wa Mungu na watamalizwa soon na hao "immortals" ina maana watamshinda Mungu huyu aliyeumba dunia na hao watu weusi?!!

Sasa Mungu anashindwaje wakati tunaambiwa nguvu zake hazina ukomo na ni kubwa sana? Je, hao immortals hawafanyi kazi kwa niaba ya Mungu ambaye naye ni immortal? Inakuwaje Mungu aumbe viumbe dhaifu kama sisi halafu aache viumbe vyenye nguvu kuliko alivyoumba yeye vinyasenyase viumbe vyake?

Imesemwa huku kuwa jamii hizi za siri ndo huweka wakuu wa nchi madarakani kwa makusudi yao. Kwenye kitabu cha Daniel tunaambiwa Mungu ndiye huweka falme na mamlaka za dunia kwa wakati wake kwa makusudi yake. Mungu pia ndiye "ultimate controller" wa kila kinachochotokea hapa duniani kwa hiyo shetani hafanyi uharibifu unaozidi kiasi Mungu alichomruhusu. Tunaona mfano wa hilo kwenye kisa cha Ayubu - kwamba amvuruge anavyotaka ila asiguse roho yake.

Kwa jinsi ninavyomuogopa Mungu swali kubwa nililotaka kuuliza limefanya moyo uende mbio. Niishie tu hapa.
 
Huu ndo ujinga huwa sipendi kuusikia kabisaa! Yaani mnadanganywa ili jamaa wauze vitabu vyao vya uongo. Hivi km ni vyama vya siri,hiyo siri gani ya kuandikwa hata vitabuni!!?? Na nyie mnaosimulia hapa,bado mnaamini hivyo vyama ni siri wakati nyie wenyewe mnajua..!! Sasa hapo siri iko wapi km siyo uongo tu!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa kama HIV ni hewa mtoto mchanga anaipataje hii hewa kwa mama yake wakati wa kuzaliwa au wa kunyonya? Mbona mtoto akifanikiwa kupita mlangoni salama mama yake akampa maziwa ya kopo au hata kumnyonyesha yake pekee kama mtoto hana michubuko kinywani na kooni hapati HIV?
 
Vipi chimbuko la Mti wa Krismas na kaburi la Nimrodi?
 

Injili ya Yohana inatuambia Mungu ni roho kwa hiyo tafsiri yake ni kuwa hana umbile. Kwa maana hiyo hata shetani ni roho - hana umbile. Injili hiyo hiyo inatuambia Mungu ni Neno na mtume Paulo anasema Mungu ni "Knowledge". Au??
 
Swali lako halipo sahihi kabla hata sijalijibu....

Ukishasema hakuna kitu fulani tayari uwezekano wa mtu kuwa nacho unakuwa haupo....

Kama ni hivyo,huyo mtoto anakuwaje nacho kama hakipo?

Umeanza kuliza swali lako huku ukiassume kuwa kuna kitu kinaitwa HIV wakati siyo kweli...

Labda ungeuliza tu kuwa huyo mtoto na mama yake wanakuwa wanaugua nini na kimsingi ukienda hospital watakuambia anachoumwa huyo mtoto.Hakuna ugonjwa unaoitwa HIV ndugu....
 
Siri maana yake nini?
 

Ni kweli hakuna ugonjwa unaoitwa HIV ila kuna magonjwa yanayohusiana na HIV yanayoitwa AIDS (inaweza kuwa malaria, TB, homa ya matumbo, harara, kansa n.k). Kwa kuwa umechagua kuamini kuwa HIV haipo, huwezi kuwa na jibu la kwa nini mtoto apate hali ya kushambuliwa na magonjwa kama mama yake kwa kugusana na damu au maji ya ukeni ya mama yake.
 
Information kuhusu Mungu wa kweli na information kuhusu huyo wanaesema "shetan",..zilikua twisted mda mref sana,so the truth kuhusu Mungu wa ukwel kwa kias kikubwa zmepotoshwa na walimwengu,hao walioandika bible na maandiko mengne,so kujib maswal yako yote inabid nikuanzie mbaali sana,na kwasasa muda huo sina,perhaps next time.
 
Nakupa kazi ndogo tu...

Hebu fuatilia uone kama kuna binadamu aliyewahi kumuona huyo HIV....

Anzia hapo kwanza halafu utaona kati ya mimi na wewe ni nani amechagua kuamini nini kuhusu HIV....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…