Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Hawa jamaa wanakwambia tukionacho au tunachokijua katika dunia hii si 100% true as it is. Wanasema tunachokijua na sababu zake ni kijisehemu tu cha ukweli na mastermind wa issue nzima wapo ambayo ni jamii Fulani ya siri. Halafu eti wanataka tuamini juu ya hizo fiction kuliko uhalisia wa kile tukionacho, hapohapo hawaleti ushahidi wa hizo fiction. Tutaaminije juu ya siri iliyo sirini, na kutupilia mbali kinaonekana na kupimwa dhahiri.Huu ndo ujinga huwa sipendi kuusikia kabisaa! Yaani mnadanganywa ili jamaa wauze vitabu vyao vya uongo. Hivi km ni vyama vya siri,hiyo siri gani ya kuandikwa hata vitabuni!!?? Na nyie mnaosimulia hapa,bado mnaamini hivyo vyama ni siri wakati nyie wenyewe mnajua..!! Sasa hapo siri iko wapi km siyo uongo tu!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app