Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

Mmmhhh! Hatari kubwa, sisi binadamu wa kawaida yatupasa tufanye nini ili kuepuka haya? Kimbilio la wengi ni kwa Mungu, ikiwa wao ndo wenye control ya hizi dini tutakuwa na uhakika gani kwamba Mungu huyu ndiye sahihi?
 
 
kwa watu wanaoamini dini
Mungu anasema ameumba viumbe wanao onekana na wasio onekana na tusio kuwa na ujuzi nao bali kwa yale aliotufundisha huwenda ni kweli alien wapo ila hatujui kama wana exist kutokana na uhaba wa elimu ya mambo.#Eiyer


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila MUNGU JEHOVA ndiyo mwanzo na mwisho wa kila kitu
hahaha watu wanaishi duniani na kuamua kesho na leo ya watu wengine halafu huo mchakato unafanikiwa ....halafu wewe unasema mungu yehova. ...tujitahidi kukukua kifikira walau hata kidogo basi jamani
 
Hahaha eiyar aliteleza aise ...so alikuwa anataka jamaa apost kitabu kizima hapa ... na amejuaje kama guru hajui habari zozote kuhusu hao Pindar
 
Watashindana lakini hawatashinda,,Mungu atabaki kuwa Mungu na atawafukuza katika uso wa dunia,days ago.......
hahaha watashindwa nini sasa watu wanashinda kila siku mkuu ... je haujawahi kusikia masimulizi ya mabomu ya fat man na little boy yale yaliyopigwa japan kule mjini Nagasaki na Hiroshima ...je yale mamilion ya watu walio kufa hawakuwa viumbe wa mungu " Mbona hatujawahi kumuona mungu akiidhibu marekani baada ya marekani kumuulia watu wake " vipi kuhusu ilivyo leo Iraq syria " na mataifa yote yenye machafuko je mungu haoni kuwa watu wake wana angamia au ndio anasubiri msaada toka kwa binaadamu wamsaidie kufanya suluhisho ..... Mimi napinga hiyo kauli ya kusema watashindana lakini hawato shinda wakati tunaona watu wanapigana na kushinda kila siku ..na mifano ipo mingi tu " ....maana hata martin Luther king ijapo kuwa alikuwa ni mchungaji mkubwa lakini aliuwawa tu Vipi mungu alishindwa kumlinda mtumishi wake !? ...aliuwawa.baada ya kuingilia maslahi ya watu wenye nguvu ..watu ambao huwa wanapambana na kushinda pia ...
 
Damu ya nyoka mkuu !! Mhh hebu fafanua ili tuelewe mkuu
 
Heshima kwako, huyu Manly P.Hall nina kitabu kinaitwa Secret of teaching of all Ages ,si mchezo kaandika yeye

MTC | 101| [emoji769]
 
Aisee leo nimejua maana ya Isis
 
Nakubaliana nawewe
 
hahaha
 
hahaha tukiwaambiaga hivi huwa wanapinga
 
Hahaa Mungu ana contractions kibao .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita vyetu si vya damu na nyama ,wala hatutawaogopa wanaoua mwili ili_hali hawawezi kuua roho Mungu atabaki kuwa Mungu milele na milele Amen,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha watu wanaishi duniani na kuamua kesho na leo ya watu wengine halafu huo mchakato unafanikiwa ....halafu wewe unasema mungu yehova. ...tujitahidi kukukua kifikira walau hata kidogo basi jamani
...ahahahaaaa watu hawajui hata hizo hadithi za huyo Mungu ndio wao wamezi_frem na kuwakaririsha ...sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam!! Kundi hilo ni ishara tosha kwamba shetani amefanikiwa mno katika 'mission' yake.Genge la namna hii ni mazezeta/mazuzu peke yao ndio wanakua wanachama ingawa wao wanajiona wana akili sana.Shambulizi baya na la hatari analofanya shetani kwa mwanadamu ni kukorokochoa 'mind set'.Akifaulu eneo hili,hata uprofesa hauna kazi maana hapo usiku na mchana huwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…