Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

Kiongozi shukrani sana Kwa elimu uliotupatia....ki ujumla vingi nilikuwa navifahamu kabl sijapata mengi kutoka kwako....nakushauri uendelee kutoa elimu maana watu wengi hawajui kitu.... Na vilevile ningeomba hugusie kidogo uzao wa mfalme selemani
Unataka kujua kuhusu uzao wa mfalme Suleiman kwa muktadha upi kiongozi?
 
Historia inasema kuwa ni Myaudi, je wayaudi walikuwa black na uzao wake ulifikaje Africa.......
 
Mkuu,

Suleiman hakuwa Myahudi kwasababu Wayahudi ni wale waliokuwa watoto wa Yuda na Benjamin,nitafafanua kidogo maana natumia simu...

Baada ya taifa la Israel kugawanyika baada ya wao kutoelewana kati ya miaka ya 765 B.C na kusababisha kuzaliwa mataifa mawili ambayo ni Israeli na Yuda (Judea)....

Israeli ilikuwa kaskazini ya nchi iliyokuwa Israeli na ilikuwa inabeba makabila 10 kati ya 12 na ilichukua eneo kubwa kidogo.Yuda ilichukua eneo la Israel ya kusini na waliamua kujiita Yuda kwasababu ya wingi wa watu wa kabila la Yuda kuliko kabila la Benjamin. Kipindi hiki Suleiman alikuwa ameshatawala zamani sana huko na wale watu wa Yuda kwa maana ya makabila mawili ya Benjamin na Yuda wakawa wanaitwa Wayahudi au Wayuda kutokana na kabila la Yuda.....

Sababu hii ndiyo inayosababisha kwenye agano la kale hakuna neno Wayahudi bali kuna Waisraeli tu.

Nikija kwenye ishu ya rangi ni kwamba wote Waisraeli walikuwa weusi.Baada ya uvamizi wa Warumi mwaka 70 A.D walikimbilia Afrika ya magharibi ambako walianzisha maisha huko na kuna ushahidi mwingi tu wa jambo hili tatizo natumia simu ningeweka baadhi....

Kuna ushahidi wa Waisraeli hadi Wayahudi kuwa weusi kabisa nahata huko juu nimeweka nukuu ya Suleiman iliyoko kwenye biblia inayoonesha alikuwa mweusi kabisa na pia kuna ushahidi mwingine ukionesha kuwa Yesu alikuwa weusi kabisa.....

Inadaiwa kuwa Wabantu ni matokeo ya mchanganyiko wa Wayahudi na makabila ya Afrika ya magharibi baada ya Wayahudi kuweka makazi yao huko....
 
Wenzetu wapo bize wanafanya tafiti za kurusha makombola angani na kutengeneza tooth stick sisi tupo bize tunasoma hadithi za bones sijui freemason. Hii ni aina nyingine ya kupumbazwa na hawa jamaa ili wazidi kuchota rasilimali zetu.
 
Asante mkuu.....Sina uhakika kama hawa watoto wa kidigitali watakuja kujua hivi vitu....maana hata maandiko yenyewe wanayotumiwa kufundishiwa yamebaki kama yalivyo....
 
Yale ya muhimu kabisa hapa duniani huyajui na unadhani hilo inalolisema ndilo la muhimu....

Tatizo mgonjwa ndiye anamuona mzima kuwa ni mgonjwa,kazi kubwa kabisa hiyo....
 
Asante mkuu.....Sina uhakika kama hawa watoto wa kidigitali watakuja kujua hivi vitu....maana hata maandiko yenyewe wanayotumiwa kufundishiwa yamebaki kama yalivyo....
Mkuu hii ni ndoto....
 
A recent study from the University of Helsinki has suggested that religious people are more likely to have a poor understanding of the world.

It claims that those with a belief in God are more likely to think that inanimate objects, such as metal and oil can think and feel.

Researchers say that the findings suggest people's lack of understanding about the physical world means they apply their own rules, 'resulting in belief in demons, gods, and other supernatural phenomena'.

Participants were asked how much they agreed with the statement 'there exists an all-powerful, all-knowing, loving God' and if they believed in paranormal phenomena such as ghosts and psychic visions.

They were also tested on a range of other topics, including intuitive physics skills and understanding of basic biology.

The results showed that religious people tend to base their actions on instinct, rather than analytical thinking.

So, which part do you believe in?
 
Mkuu,

Suleiman hakuwa Myahudi kwasababu Wayahudi ni wale waliokuwa watoto wa Yuda na Benjamin,nitafafanua kidogo maana natumia simu...

Baada ya taifa la Israel kugawanyika baada ya wao kutoelewana kati ya miaka ya 765 B.C na kusababisha kuzaliwa mataifa mawili ambayo ni Israeli na Yuda (Judea)....

Israeli ilikuwa kaskazini ya nchi iliyokuwa Israeli na ilikuwa inabeba makabila 10 kati ya 12 na ilichukua eneo kubwa kidogo.Yuda ilichukua eneo la Israel ya kusini na waliamua kujiita Yuda kwasababu ya wingi wa watu wa kabila la Yuda kuliko kabila la Benjamin. Kipindi hiki Suleiman alikuwa ameshatawala zamani sana huko na wale watu wa Yuda kwa maana ya makabila mawili ya Benjamin na Yuda wakawa wanaitwa Wayahudi au Wayuda kutokana na kabila la Yuda.....

Sababu hii ndiyo inayosababisha kwenye agano la kale hakuna neno Wayahudi bali kuna Waisraeli tu.

Nikija kwenye ishu ya rangi ni kwamba wote Waisraeli walikuwa weusi.Baada ya uvamizi wa Warumi mwaka 70 A.D walikimbilia Afrika ya magharibi ambako walianzisha maisha huko na kuna ushahidi mwingi tu wa jambo hili tatizo natumia simu ningeweka baadhi....

Kuna ushahidi wa Waisraeli hadi Wayahudi kuwa weusi kabisa nahata huko juu nimeweka nukuu ya Suleiman iliyoko kwenye biblia inayoonesha alikuwa mweusi kabisa na pia kuna ushahidi mwingine ukionesha kuwa Yesu alikuwa weusi kabisa.....

Inadaiwa kuwa Wabantu ni matokeo ya mchanganyiko wa Wayahudi na makabila ya Afrika ya magharibi baada ya Wayahudi kuweka makazi yao huko....
Ina maana Suleiman alitawala kabla ya kuja historia ya yakobo
 
Sijaielewa hii post yako bibie....
katika hio quote yako
kuna mahala umesema suleiman alikua kashatawala zamani sana
....
kabla ya hayo makabila ya islaeli yaliyotokana na watoto wa Yakobo.

ndio nikauliza Ina maana Suleiman alikuwepo kabla ya kizazi cha Yakobo
 
Hapana sijasema hivyo bibie..

Hebu rudia tena kusoma utaelewa tu bibie....
 
Suleiman hakuwa Myahudi kwasababu Wayahudi ni wale waliokuwa watoto wa Yuda na Benjamin,nitafafanua kidogo maana natumia simu...

Baada ya taifa la Israel kugawanyika baada ya wao kutoelewana kati ya miaka ya 765 B.C na kusababisha kuzaliwa mataifa mawili ambayo ni Israeli na Yuda (Judea)....

Israeli ilikuwa kaskazini ya nchi iliyokuwa Israeli na ilikuwa inabeba makabila 10 kati ya 12 na ilichukua eneo kubwa kidogo.Yuda ilichukua eneo la Israel ya kusini na waliamua kujiita Yuda kwasababu ya wingi wa watu wa kabila la Yuda kuliko kabila la Benjamin. Kipindi hiki Suleiman alikuwa ameshatawala zamani sana huko na wale watu wa Yuda kwa maana ya makabila mawili ya Benjamin na Yuda wakawa wanaitwa Wayahudi au Wayuda kutokana na kabila la Yuda.....
 
Hapana sijasema hivyo bibie..

Hebu rudia tena kusoma utaelewa tu bibie....
Tazama comment yangu hapo juu, nilimoweka ink
ndipo paliponifanya nijiulize ina maana Yakobo alikuja badala ya suleimani?

kwamba Manabii/mitume wako katika mtririko kwamba badala ya yesu akaja Petro (mfano) kama hivo yani...

kwahiyo ina maana Suleiman alikuwepo kabla ya yakobo ?
 
Dada,ni kwamba Suleiman ni mmoja wa makabila 12 ya Israeli na jambo hilo linamfanya awe ametoka kwenye viuno vya Yakobo...

Lakini,jambo hilo halimfanyi akawa Myahudi kwasababu Wayahudi ni wle wa makabila mawili tu ya Benjamin na Yuda na siyo Lawi,Dani n.k na ndiyo maana huoni term Wayahudi kwenye agano la kale kwasababu asilimia 98 ya agano la kale limeandikwa wakati bado hakujawa na mgawanyiko uliosababisha kuwepo kwa nchi mbili za Yuda [Judea] na Israeli ya kaskazini.....

Wakati mghawanyiko huu unatokea Suleiman alikuwa ameshatawala zamani sana na hivyo yeye siyo Myahudi kwa maana hiyo....

Nadhani sasa um,enielewa....
 
anhaa sawa nmeelewa
 
Guru master unaweza ukanifafanulia kuhusu kifo cha Kennedy?? Maana kuna article nimesoma inaonesha Kennedy alipigwa lisasi na si Bomu,,yote kwa yote nashukuru kwa kunifumbua macho kuhusu jamii hii ya skulls and bones
 
Back
Top Bottom