kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Kama hutakuwa makini unaweza kusema 90% ya TFF, Bodi ya Ligi na marefa walikuwa ni Simba kabla ya ujio wa technolojia ya FVS kwenye ligi yetu, kumbe bana haikuwa hivyo, walikuwa wanapitiwa tu.
Ujio wa FVS unatuonyesha sasa kumbe marefa wetu walikuwa wanakosea tu kibinadamu kuipendelea Simba. Lakini sasa baada ya ujio wa FVS ni mechi 2 kadi nyekundu 2, huo ndio uhalisia tuliokuwa tunaulalamikia kuhusu waamuzi kwa Simba.
Wachezaji wa Simba tangu wale akina Mzamiru, Putin, Kagoma, Loemba, Henock Inonga, Fondo, na wengine walikuwa wanawachezea vibaya wachezaji wezao bila kukutana na adhabu kali tukadhani ni upendeleo kumbe yalikuwa ni makosa ya kibinadamu tu.
Hata hivyo Simba itakuwa timu ya kwanza kuikataa FSV kama makosa ya kibinadamu yatapungua kwa kiwango kikubwa kwenye ligi.