Wawe wa kwanza kuikataa FVS mara ngapi wakati tayari Magori anawaandikia barua Bodi ya Ligi kuhusu iyo FVS. Kuna muda huyu Mzee hua nashindwa kumuelewa kabsa, msimu ulopita alisema wamekosa ubingwa wa Ligi kuu kwasababu ya makosa ya kibinadamu ya marefa. TFF wakaona isiwe kesi msimu huu wameleta FVS, tayari mechi ya pili tu jamaa ashaona ina shida kwasababu tu imeiathiri timu yake.Kama hutakuwa makini unaweza kusema 90% ya TFF, Bodi ya Ligi na marefa walikuwa ni Simba kabla ya ujio wa technolojia ya FVS kwenye ligi yetu, kumbe bana haikuwa hivyo, walikuwa wanapitiwa tu. Ujio wa FVS unatuonyesha sasa kumbe marefa wetu walikuwa wanakosea tu kibinadamu kuipendelea Simba. Lakini sasa baada ya ujio wa FVS ni mechi 2 kadi nyekundu 2, huo ndio uhalisia tuliokuwa tunaulalamikia kuhusu waamuzi kwa Simba.
Wachezaji wa Simba tangu wale akina Mzamiru, Putin, Kagoma, Loemba, Henock Inonga, Fondo, na wengine walikuwa wanawachezea vibaya wachezaji wezao bila kukutana na adhabu kali tukadhani ni upendeleo kumbe yalikuwa ni makosa ya kibinadamu tu.
Hata hivyo Simba itakuwa timu ya kwanza kuikataa FSV kama makosa ya kibinadamu yatapungua kwa kiwango kikubwa kwenye ligi.
Wanahangaika mpaka TFF ikaleta marefa kutoka nje kuchezesha dabi, mara GSM anadhamini timu nyingi.Wawe wa kwanza kuikataa FVS mara ngapi wakati tayari Magori anawaandikia barua Bodi ya Ligi kuhusu iyo FVS. Kuna muda huyu Mzee hua nashindwa kumuelewa kabsa, msimu ulopita alisema wamekosa ubingwa wa Ligi kuu kwasababu ya makosa ya kibinadamu ya marefa. TFF wakaona isiwe kesi msimu huu wameleta FVS, tayari mechi ya pili tu jamaa ashaona ina shida kwasababu tu imeiathiri timu yake.
Huyo magori anaiandikia barua Bodi ya Ligi yeye kama nani pale Simba? Maana hana cheo chochote zaidi ya kuwa shabiki tu.Wawe wa kwanza kuikataa FVS mara ngapi wakati tayari Magori anawaandikia barua Bodi ya Ligi kuhusu iyo FVS. Kuna muda huyu Mzee hua nashindwa kumuelewa kabsa, msimu ulopita alisema wamekosa ubingwa wa Ligi kuu kwasababu ya makosa ya kibinadamu ya marefa. TFF wakaona isiwe kesi msimu huu wameleta FVS, tayari mechi ya pili tu jamaa ashaona ina shida kwasababu tu imeiathiri timu yake.
Huyu hapa ameanzaHuyo magori anaiandikia barua Bodi ya Ligi yeye kama nani pale Simba? Maana hana cheo chochote zaidi ya kuwa shabiki tu.
Wakikataa nasi tunagoma lazima FVS itumike kudibithi uhuni unaoendeiea kwenye soka letu. FVS ni mkombozi mkubwa wa Vilabu vidogo maana vinaonewa sanaHata hivyo Simba itakuwa timu ya kwanza kuikataa FSV kama makosa ya kibinadamu yatapungua kwa kiwango kikubwa kwenye ligi.
Pamoja na FVSMungu ibariki Simba Sports Club
Kefa Kayombo, Tatu Malogo and Co. Hawa wote hawana sifa za kuchezesha mechi za ligi na waliachwa kwa sababu ya Simba sasa wataipata Pata mwaka huuWakikataa nasi tunagoma lazima FVS itumike kudibithi uhuni unaoendeiea kwenye soka letu. FVS ni mkombozi mkubwa wa Vilabu vidogo maana vinaonewa sana
Kila timu itafikiwa ni suala la muda tuPamoja na FVS