FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Sijaelewa nahitaji ufafanuzi Hera hizo kazitoa wapi mfukoni mwake ama za walipa kodi
 
Unalipaje madeni wakati Mfumo mzma wa uchumi wa Tanzania ni mgumu hii nguvu yy anaitoa wp
kulipa madeni ya ndani nimuhimu sana, hizo hera kama zimelipwa ndizo zitachochea uchumi, kutolipa madeni ndiyo kumetufiksha hapa tulipo
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Tanzania tunae Rais kwelikweli Big Up Samia
 
Rais Mnyenyekevu
 
Hakuna kama Samia,
 
Tanzania ya Samia ni salama,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…