FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Watumishi gani waliolipwa? Watu tunadai tangu 2018.
 
Ni wajibu wa serikali kulipa madeni acheni uzuzu
 
Tulisema tukaonekana wendawazimu, Leo nyie ndio mmethibitisha kuwa MNA matatizo makubwa, niwakumbushe tu kuwa jengeni mifumo na sio mtu, SSH akiondoka mtamsema pia. Samia hatoi pesa na wala haipaswi kutamkwa hivyo ila kwakua ujuaji mwingi hamtakubali
Samia pesa katoa wapi? Hizi ninza serikqli na zinafanya kazi kwamujibu wa sheria
 
Jpm alichelewa kuwalipa kutokana na ulaghai wa wengi wa makandarasi au wadai wakiwa wamefanya kazi hewa au kuzidisha madai. Alikua na utaratibu wa kuhakiki kwanza kuhakikisha wizi wa aina yoyote kwa serikali haulipi. Hii ikiwa ni njia ya kukomesha ulaghai wa wafanyabiashara na washirika wao serikali.
Sasa mama kaona wadai wale urefu wa kamba zao anadish out hela ya umma kama njugu.
Tofauti ya jpm na mama ni kwamba jpm alikua pro people na mama pro business people.. mwenye akili utanielewa.
 
Acheni kazi iendelee hakuna awamu inalipa madeni ya mbele yote yalitengenezw huko nyuma bila kujali awamu ipi.Mpaka leo serikali inalipa madeni yanayotokana na vita vya Uganda...hata madeni ya Uviko yatalipwa miaka 10 au 20 ijayo na awamu nyingine...tupongeze tu kuwajibika kwa serikali kuliko kutengeneza lugha za kuleta makundi baina ya raia.
 
Kaziiendelee
 
Eti mama katoa pesa utafikiri za kwake!
Alafu hayo madeni yamehakikiwa? Mimi naona kuna madeni hewa yaliyokataliwa huko nyuma sasa yanalipwa tu mfano wale waliogushi vyeti sasa wameombwa radhi na kurudishwa kazini
 
Alafu hayo madeni yamehakikiwa? Mimi naona kuna madeni hewa yaliyokataliwa huko nyuma sasa yanalipwa tu mfano wale waliogushi vyeti sasa wameombwa radhi na kurudishwa kazini
Hapo kwa waliogushi vyeti hauko sahihi
 
Awesome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…