FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Tunajapa kazi, Madeni yenu mtalipwa tu
 
Mama chapa kazi, Tunakuelewa
 
Huwa naona kama wana ccm Sana matatizo makubwa, hayo madeni makubwa ni yameletwa na chama gani?

kitendo cha wewe kununua chochote nje ya nchi kwa kutumia mgongo wa tsh maaana yake inakua converted kwenda deni na hio hela inarudi kwenye mzunguko
 
Sorry I don't argue with fools. Ingia kwenye ignore be list
 
mbona watumishi kibao hawajalipwa fedha tangu mwaka jana au unataka tuje na taasisi ambazo watumishi wake mpaka leo zinaidai serikali?
Acheni kuwakebei wafanyakazi na kuwafanya mazwazwa.wewe kama unakula za kijani kaa kimywa ili usije amsha hasira ya watumishi.ari ya watumishi kufanya kazi kwa sasa imeshuka maradufu kiasi kwamba wameona bora wahangaike na mambo mengine kuliko kupoteza muda mwingi maofisini wakati hakuna wanachopata halafu wewe unaleta longo longo humu ndani.acheni kukebehi watumishi.
 
Kwani Wewe ndio msemaji wao?
 
Ni shida Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…