Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
ushauri mzuri.Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama igizo lisilo na mwisho.
Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande Freeman Mbowe zama za uongozi wale na wakati wa uchaguzi.
Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!
Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
Ukiachwa achika.....wamegoma kabisaTangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.
Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.
Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!
Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
maelekezo ya mfadhili wao ni kuwa ili B12 zionekane zimetumikaje lazima waitishe press wakati wanatokaTangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.
Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.
Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!
Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
Kuna aina fulani hivi ya kushawishiana na kuelekezana nini cha kufanya na kwa wakati gani.ushauri mzuri.
BUT, it seems they are organise, coordinated au unasemaje?
Wana buytime usikute hela waliyoahidiwa bado kuingia wanaogopa kutangaza wanakoenda ila hawa soon wanatapeliwa chezea sisiemu kwenye hela na madaraka!!Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.
Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.
Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!
Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
there you are!Kuna aina fulani hivi ya kushawishiana na kuelekezana nini cha kufanya na kwa wakati gani.
Uzuri Watanzania wameshajua mchezo wanaocheza kuwa ni uwakala wa CCM kuiangamiza Chadema lakini umeshindwa kabla ya kuanzaTangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.
Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.
Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!
Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
WATANZANIA tunajua wanaomuunga mkono hawatakiwi CHADEMA.Wanaitwa team kushindwaTangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.
Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.
Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!
Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
Hawatakiwi na nani na nyie CCM mmejuaje kama hawatakiwi?WATANZANIA tunajua wanaomuunga mkono hawatakiwi CHADEMA.Wanaitwa team kushindwa
Tangu wameanza kuhama hakuna mwenye ushawishi hata mmoja ambaye anaweza kupata hata udiwaniTangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.
Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.
Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!
Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
NahisiHawa wanatumiwa na CCM. Mtu hawezi kukutumia bila masharti
mtu wa kawaida tu anaona chadema kuna tatizo la ndaniTangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.
Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.
Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!
Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
Lema ,Heche,Lissu na vibaka wengine wa siasa kutoka CHADEMA wametangaza hadharaniHawatakiwi na nani na nyie CCM mmejuaje kama hawatakiwi?