ACT kuwa chama kikuu Cha upinzani kwa uchaguzi huu ambao CHADEMA hatushiriki hakuna tatiz
mkuu unaongea tu au unaota?unajua kupoteza status ya chama kikuu cha upinzani rasmi nchini kuna athari zipi?
ni heri zingekua walao ni chache,ila ni nyingi na most consequential
hivyo wewe kusema ni sawa tayari nishajua nadeal na mtu asiejua chochote kabisa
CHADEMA haikuanzishwa ili iwe chama Cha upinzani daima na Kwa Sheria za uchaguzi zilizopo hakuna namna ya kuwa na uchaguzi utakaosaidia kufikia malengo ya CHADEMA
huwezi ruka step mkuu
huwezi ishinda ccm kwa kutokua chama kikuu cha upinzani kwanza
kuruka hiyo step ni kujidanganya na kuonesha ni kwa namna gani haujielewi
Hakuna jambo la kufanya kuwazuia wanaotaka kutoka. Kama walivojiunga CHADEMA sasa wanaamua kutoka, ulitaka tuwalazimishe wabaki?
mkuu,kuhakikisha una watu huna budi kuhakikisha una watu wengi kadiri inavyowezekana
nadhani unasahau kua huu ni mfumo wa "demokrasia" na sio mfumo mwingine
mfumo huu ni paramount uwe na watu bila watu mfumo wa "demokrasia" unakutema nje utakua TLP tu
kwenye demokrasia mkuu huna budi kurubuni,kuconvince au hata kudanganya watu wawe na wewe hata kama huwapendi toka rohoni mwako
kinyume na kutokua na watu unaenda into mediocrity mzee,this is what nccr mageuzi,cuf and tlp died from
HAKUNA TATIZO CHADEMA kama mnavyokuza. Wewe unadhani wale kina @Yericko Nyerere walipokuwa wanasema "HAKUNA KUHAMA CHAMA" walikuwa wanamaanisha hakuna watakaotoka baada ya uchaguzi?
kuna tatizo ndani na nje
hakuna mtoto mdogo hapa
sana sana mnajidanganya wenyewe badala ya kurekebisha hayo matatizo yenu mnakimbia kivuli cha hayo matatizo
Hebu toa njia ya kufanya kuzuia waliodhamiria kuhama wasihame!
ni very simple kabisa
solution yangu ni kuwauliza mtaka nini?
watajibu
naangalia,kinapatikana,kama jibu ni yes then nawapa
kama jibu ni no,nawadanganya wanivumilie mpaka october ipite,ikifika nawadanganya tena ,hivyo hivyo mpaka miaka 5 iishe
unashindwaje njia rahisi namna hii?
wanadamu wanadanganyika vizuri tu,hapo cha msingi ni time elapse muda uishe miaka 5 yangu iishe ,support yao napata,na ccm naiwashia moto vizuri,na ushindi tunapata vizuri tu
akili zenu ni ndogo sana ndio shida!