G 55 Acheni Drama za kutoka CHADEMA, anzisheni chama chenu msonge mbele!

mtu wa kawaida tu anaona chadema kuna tatizo la ndani.
Hata wewe si mtu wa kawaida? Litaje basi hilo tatizo la ndani unalolijua wewe!

CHADEMA hakuna tatizo lolote lile la ndani. Ila kuna tatizo la nje CCM na washirika wake wanataka kuliingiza ndani ya CHADEMA!
 
Hata wewe si mtu wa kawaida? Litaje basi hilo tatizo la ndani unalolijua wewe!

CHADEMA hakuna tatizo lolote lile la ndani. Ila kuna tatizo la nje CCM na washirika wake wanataka kuliingiza ndani ya CHADEMA!
anaejidanganya ni mimi au wewe?

unajidanganya mwenyewe

watu wako wanahama,unafanya nini kustop hilo?

hata kama hila ni za ccm,hivi unaiacha ccm ikifanyie hila huku unaona kukiua chama chako halafu unasema si tatizo ni tatizo la ccm?

really?

hujitambui kabisa

badala uweke majawabu ya haya matatizo whether yametoka ndani au nje kwa ccm

sio huu ujinga unaongea hapa wa kukimbia matatizo

analytical skills zako zipo very low,tatizo lipo ndani na nje both

kama huoni haya hukatizi mbali mkuu,thats a FACT

So sad ACT will eat you for lunch muachwe nyuma,maana akiwa na viti vingi tayari ni chama kikuu cha upinzani rasmi

i wonder what will u people do!
 
ACT kuwa chama kikuu Cha upinzani kwa uchaguzi huu ambao CHADEMA hatushiriki hakuna tatizo.

CHADEMA haikuanzishwa ili iwe chama Cha upinzani daima na Kwa Sheria za uchaguzi zilizopo hakuna namna ya kuwa na uchaguzi utakaosaidia kufikia malengo ya CHADEMA

Hakuna jambo la kufanya kuwazuia wanaotaka kutoka. Kama walivojiunga CHADEMA sasa wanaamua kutoka, ulitaka tuwalazimishe wabaki?

HAKUNA TATIZO CHADEMA kama mnavyokuza. Wewe unadhani wale kina Yericko Nyerere walipokuwa wanasema "HAKUNA KUHAMA CHAMA" walikuwa wanamaanisha hakuna watakaotoka baada ya uchaguzi?

Hebu toa njia ya kufanya kuzuia waliodhamiria kuhama wasihame!
 
ACT kuwa chama kikuu Cha upinzani kwa uchaguzi huu ambao CHADEMA hatushiriki hakuna tatiz
mkuu unaongea tu au unaota?unajua kupoteza status ya chama kikuu cha upinzani rasmi nchini kuna athari zipi?

ni heri zingekua walao ni chache,ila ni nyingi na most consequential

hivyo wewe kusema ni sawa tayari nishajua nadeal na mtu asiejua chochote kabisa
CHADEMA haikuanzishwa ili iwe chama Cha upinzani daima na Kwa Sheria za uchaguzi zilizopo hakuna namna ya kuwa na uchaguzi utakaosaidia kufikia malengo ya CHADEMA
huwezi ruka step mkuu

huwezi ishinda ccm kwa kutokua chama kikuu cha upinzani kwanza

kuruka hiyo step ni kujidanganya na kuonesha ni kwa namna gani haujielewi
Hakuna jambo la kufanya kuwazuia wanaotaka kutoka. Kama walivojiunga CHADEMA sasa wanaamua kutoka, ulitaka tuwalazimishe wabaki?
mkuu,kuhakikisha una watu huna budi kuhakikisha una watu wengi kadiri inavyowezekana

nadhani unasahau kua huu ni mfumo wa "demokrasia" na sio mfumo mwingine

mfumo huu ni paramount uwe na watu bila watu mfumo wa "demokrasia" unakutema nje utakua TLP tu

kwenye demokrasia mkuu huna budi kurubuni,kuconvince au hata kudanganya watu wawe na wewe hata kama huwapendi toka rohoni mwako

kinyume na kutokua na watu unaenda into mediocrity mzee,this is what nccr mageuzi,cuf and tlp died from
HAKUNA TATIZO CHADEMA kama mnavyokuza. Wewe unadhani wale kina @Yericko Nyerere walipokuwa wanasema "HAKUNA KUHAMA CHAMA" walikuwa wanamaanisha hakuna watakaotoka baada ya uchaguzi?
kuna tatizo ndani na nje

hakuna mtoto mdogo hapa

sana sana mnajidanganya wenyewe badala ya kurekebisha hayo matatizo yenu mnakimbia kivuli cha hayo matatizo
Hebu toa njia ya kufanya kuzuia waliodhamiria kuhama wasihame!
ni very simple kabisa

solution yangu ni kuwauliza mtaka nini?

watajibu

naangalia,kinapatikana,kama jibu ni yes then nawapa

kama jibu ni no,nawadanganya wanivumilie mpaka october ipite,ikifika nawadanganya tena ,hivyo hivyo mpaka miaka 5 iishe

unashindwaje njia rahisi namna hii?

wanadamu wanadanganyika vizuri tu,hapo cha msingi ni time elapse muda uishe miaka 5 yangu iishe ,support yao napata,na ccm naiwashia moto vizuri,na ushindi tunapata vizuri tu

akili zenu ni ndogo sana ndio shida!
 
solution yangu ni kuwauliza mtaka nini?

watajibu

naangalia,kinapatikana,kama jibu ni yes then nawapa

kama jibu ni no,nawadanganya wanivumilie mpaka october ipite,ikifika nawadanganya tena ,hivyo hivyo mpaka miaka 5 iishe.
Kwanza andiko lako nimeliweka hivi.

1. CHADEMA isiposhiriki uchaguzi hakitakuwa chama kikuu cha upinzani.

Kwa hili unachanganya mambo. Kuna chama kikuu cha upinzani bungeni na Kuna chama kikuu cha upinzani.

Chama kikuu cha upinzani bungeni kinahitaji wabunge (CCM wanaweza kuwapa chama chochote kile cha siasa) na chama kikuu cha upinzani kinahitaji watu.

Zama za utawala wa makaburu kule Afrika ya Kusini, chama cha National Party kilikuwa ni chama tawala na vyama Inkhata freedom Party , Progressive Federal Party na vinginevyo vilikuwa ni vya upinzani. Hapo ANC au PAC vilikuwa vimepigwa marufuku na Kwa ANC kiongozi wao Nelson Mandela alikuwa jela.

Sasa hapa Tanzania chama kikuu cha upinzani kitaendelea kuwa ni CHADEMA na hivyo vitakuwa ni vyama vyenye wabunge bungeni.

Nashangaa umeshasahau kuwa CUF waligomea uchaguzi wa marejeo kule Pemba. Uchaguzi ulifanyika na wabunge wakachaguliwa lakini CUF bado ikawa na nguvu za kisiasa Pemba.

Sijui umetumia kigezo gani kutamani CHADEMA iwe kama TLP!

Hao wanaohama ulitaka waulizwe wanataka nini wakati ndani mwao wapo wenye sifa za kuuliza wenzao wanaotoka nao kuwa wanataka nini?

Kutoka kwao CHADEMA hakutokani na makosa ya CHADEMA kutokuwauliza wanataka nini, bali kunatokana na utashi wao wa kutaka kutoka.
 
Huku kuna matatizo kuliko kule mliko? Kupelekwa kikondoo kondoo tu kwa kisingizio kwamba kuna utamaduni wa kuachiana?
 
Huku kuna matatizo kuliko kule mliko? Kupelekwa kikondoo kondoo tu kwa kisingizio kwamba kuna utamaduni wa kuachiana?
sina chama

naona ushanikatia chama kabisa

halafu chadema people think upinzani ni chadema pekee yake,ukichallenge their narrative wanajua wewe ni ccm,these people are so predictable

yanayoendelea ccm siwezi yasemea hapa,labda uwatafute wao uwaulize

nachojua atleast ccm inajua kushughulikia their own internal problems ndio maana kipo inakaribia miaka 100 now

yes ccm ni mbaya ila kwenye kushughulikia gomvi za ndani,wanaliweza sana wamewapita wapinzani

mjifunze kwakweli
 
Hao WAHUNI, hawana nia njema yoyote ya kushika dola, ni waze wa dili - tayari washapewa majimbo kabla hata ya uchaguzi mkuu - hapa watu ni wauaji kabisa hawafai.
 
Ukiachwa achika.....wamegoma kabisa
Sasa hapa aliyeachwa ni nani? Wao wametoa talaka hadharani lakini kila kukicha mko nao. Kila siku mnalalamika jinsi mlivyoachwa wakati aliyewaacha amejikalia kimya. Au kwa vile mlikuwa na mpango wa kutoa talaka lakini wamewawahi?

Amandla...
 


Wametiwa aibu sana.

Wakati watu wanauwa hasa Viongozi wa dini ya Kikristo na waislam wasio wa BAKWATA wao wanapinga mabadiliko na mfumo wa Haki wa kuhakikisha kila mtu anatendewa Haki katika nchi hii bila kujali chama au dini?

Leo huo hao G 55 Watawaambia nini Waumini wa Kanisa katoliki ambao maaskofu wao wamekua waliuawa kila inapokaribia uchaguzi?

Yaani G55 wameamua kuungana na watu wasiojulikana halafu wanataka kupata kura kwenye uchaguzi!11

G55 mpaka sasa wameshindwa hata kwenda kumpa pole hata Padri Kituma na yule Kateksta kule Songea halafu wayakabk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…