Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Ubwabwa umegoma kuivaJulias Mwita ajiweka pembeni na siasaView attachment 3402253
Kwenye hiyo Picha Mrema anaonekana ana mawazo sana.Hawa watu walidhani kuwa na chama imara na kinachopendwa na raia ni kufanya ma press conference kila siku kuinanga Chadema.
Walitegemea wangehama na nusu ya wanachama wa Chadema, ila kilichowakuta ni kilio na kusaga meno.
Aliye kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema,Mwita alihama pamoja na kina John Mrema.
Sahivi wamefarakana kisa vijisenti vya sponsor,na ameamua kujutoa CHAUMA .
Ni swala la muda Chauma watagawana Mbao
Hakunaga mkurta mnafiki. Mwita hauwezi unafiki. Amewaachia wenyeweKwenye hiyo Picha Mrema anaonekana ana mawazo sana.
Ester Matiko sio mnafiki?Hakunaga mkurta mnafiki. Mwita hauwezi unafiki. Amewaachia wenyewe
Tanzania Police nao wanatumia VPN na Ikulu pia wanatumia VPN kama ninayotumia mimi.Kutumia VPN ni jinai Tanzania, mtandao wa "X" wanaupata vipi bila VPN?
HahahaWakurya na wali wapi na wapi
Ikulu wanavunja sheria, polisi wanavunja sheria, na wewe unavunja sheria.Tanzania Police nao wanatumia VPN na Ikulu pia wanatumia VPN kama ninayotumia mimi.
Unatuuliza sisi humu? unashindwa kupitia page za hao Jambo Tv kujiridhisha kama ni kweli au la? Jf inapoteza sana sifa kwa kasi ya kitishaNa Boni yai ni kweli?View attachment 3402261
Kama huna jibu kuna walio tayari kujibu hivyo usifure bila sababuUnatuuliza sisi humu? unashindwa kupitia page za hao Jambo Tv kujiridhisha kama ni kweli au la? Jf inapoteza sana sifa kwa kasi ya kitisha