GE2025 G-55 waliohamia CHAUMMA waanza kumomonyoka mmoja mmoja. Julias Mwita ajiweka pembeni

GE2025 G-55 waliohamia CHAUMMA waanza kumomonyoka mmoja mmoja. Julias Mwita ajiweka pembeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Julias Mwita ajiweka pembeni na siasa

Ninamshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuendelea na hatua nyingine ya kitaaluma.Sasa nitajielekeza zaidi kwenye kukuza taaluma yangu na mambo mengine.

Hivyo kuanzia sasa 𝗦𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜𝗦𝗛𝗨𝗚𝗛𝗨𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗢𝗬𝗢𝗧𝗘Tukutane kwenye TAALUMA na UTAALAMU.Julius Gabriel Mwita.
View attachment 3402253
Abdul amegoma kutoa hela tena na Mbowe naye lile fuba lililobaki kwenye ile 12b ya project ya kumzuia Lissu asiwe mwenyekiti ameamua kuliminya peke yake sasa vibwengo wanahangaika .
 
Back
Top Bottom