The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,849
- 9,643
UmepanicUnatuuliza sisi humu? unashindwa kupitia page za hao Jambo Tv kujiridhisha kama ni kweli au la? Jf inapoteza sana sifa kwa kasi ya kitisha

Wadau washakata hela usajili wa Wembo siumeshindikana na dalali wa Kigoma Mangungo Bweka nae hela anaitaka basi tafraniJulias Mwita ajiweka pembeni na siasa
Ninamshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuendelea na hatua nyingine ya kitaaluma.Sasa nitajielekeza zaidi kwenye kukuza taaluma yangu na mambo mengine.
Hivyo kuanzia sasa 𝗦𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜𝗦𝗛𝗨𝗚𝗛𝗨𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗢𝗬𝗢𝗧𝗘Tukutane kwenye TAALUMA na UTAALAMU.Julius Gabriel Mwita.
View attachment 3402253
Tena hao ni wanafiki kupitiliza ... nilikuwa nao ofisi moja kutwa kucha kuchongea kwa boss ...wakurya ni wanafiki sana .Hakunaga mkurta mnafiki. Mwita hauwezi unafiki. Amewaachia wenyewe
Sasa yule ni Mkurya au “mayala”?Ester Matiko sio mnafiki?
Huwez ona ni fake cover hata font za kueditNa Boni yai ni kweli?View attachment 3402261
amekua mwanachama wa kawaida kama mimi na weweJulias Mwita ajiweka pembeni na siasa
Ninamshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuendelea na hatua nyingine ya kitaaluma.Sasa nitajielekeza zaidi kwenye kukuza taaluma yangu na mambo mengine.
Hivyo kuanzia sasa 𝗦𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜𝗦𝗛𝗨𝗚𝗛𝗨𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗢𝗬𝗢𝗧𝗘Tukutane kwenye TAALUMA na UTAALAMU.Julius Gabriel Mwita.
View attachment 3402253
Wapumbavu na vipofuJulias Mwita ajiweka pembeni na siasa
Ninamshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuendelea na hatua nyingine ya kitaaluma.Sasa nitajielekeza zaidi kwenye kukuza taaluma yangu na mambo mengine.
Hivyo kuanzia sasa 𝗦𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜𝗦𝗛𝗨𝗚𝗛𝗨𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗢𝗬𝗢𝗧𝗘Tukutane kwenye TAALUMA na UTAALAMU.Julius Gabriel Mwita.
View attachment 3402253
Ameletewa sahani la ukoko!Julias Mwita ajiweka pembeni na siasa
Ninamshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuendelea na hatua nyingine ya kitaaluma.Sasa nitajielekeza zaidi kwenye kukuza taaluma yangu na mambo mengine.
Hivyo kuanzia sasa 𝗦𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜𝗦𝗛𝗨𝗚𝗛𝗨𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗢𝗬𝗢𝗧𝗘Tukutane kwenye TAALUMA na UTAALAMU.Julius Gabriel Mwita.
View attachment 3402253
Haahaa kiukweli ukiangalia kwa undani Chaumma sio chama Cha kumjenga mwanasiasa akatimiza ndoto zake Wala ndoto za umma..Julias Mwita ajiweka pembeni na siasa
Ninamshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuendelea na hatua nyingine ya kitaaluma.Sasa nitajielekeza zaidi kwenye kukuza taaluma yangu na mambo mengine.
Hivyo kuanzia sasa 𝗦𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜𝗦𝗛𝗨𝗚𝗛𝗨𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗢𝗬𝗢𝗧𝗘Tukutane kwenye TAALUMA na UTAALAMU.Julius Gabriel Mwita.
View attachment 3402253
Amepata admission kusoma PhDJulias Mwita ajiweka pembeni na siasa
Ninamshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuendelea na hatua nyingine ya kitaaluma.Sasa nitajielekeza zaidi kwenye kukuza taaluma yangu na mambo mengine.
Hivyo kuanzia sasa 𝗦𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜𝗦𝗛𝗨𝗚𝗛𝗨𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗢𝗬𝗢𝗧𝗘Tukutane kwenye TAALUMA na UTAALAMU.Julius Gabriel Mwita.
View attachment 3402253
mba kina Jafo,Nchemba,Biteko waliosoma PhD waliacha siasaAmepata admission kusoma PhD
Askofu kakosea kidooogo.... kura inaibiwa pale unapoamua kumiliki kitambulisho... ukijiandikisha tu kura imeenda hiyoUamuzi wa busara ni ushauri wa Askofu Bagonza. Kama hutaki kura yako iibiwe, Siku ya uchaguzi, kaa na kura yako nyumbani. Ukikosea tu ukaenda kituo cha kupigia kura, ukatumbukiza ndani ya box, ujue tayari kura yako imeibiwa na chama cha ibilisi.
Sema watanzania mwaka huu wameamua kuyakomesha ma CCM , sahv itabidi yaibiane kura yenyeweAskofu kakosea kidooogo.... kura inaibiwa pale unapoamua kumiliki kitambulisho... ukijiandikisha tu kura imeenda hiyo
Ndio maana sikuiona popote pengineHuwez ona ni fake cover hata font za kuedit
Huyo kakujibu vibaya lakini alitaka akufikirishe. Biniyai akihama ni habari kubwa, bila kuuliza yoyote ungeshaona huko kila sehemu picha na trendKama huna jibu kuna walio tayari kujibu hivyo usifure bila sababu
Yaani mimi nimeamua kuuliza hapa kwakuwa napo ningepata majibu.. Nice njia niliyoamua kuitumiaHuyo kakujibu vibaya lakini alitaka akufikirishe. Biniyai akihama ni habari kubwa, bila kuuliza yoyote ungeshaona huko kila sehemu picha na trend
Pia ukiwa kabla ya kuja kuuliza ulipaswa upitie page ya hiyo media, na page ya mhusika. Akili ndogo tu ungetumia
Boniyai sio rahisi taarifa zake ulete hapa kupata majibu, yule ungeshasikia akina millard ayo na vyombo vyote vya FISIEM vikireportYaani mimi nimeamua kuuliza hapa kwakuwa napo ningepata majibu.. Nice njia niliyoamua kuitumia