GE2025 G-55 waliohamia CHAUMMA waanza kumomonyoka mmoja mmoja. Julias Mwita ajiweka pembeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wadau washakata hela usajili wa Wembo siumeshindikana na dalali wa Kigoma Mangungo Bweka nae hela anaitaka basi tafrani


No reform No Election
 
Uamuzi wa busara ni ushauri wa Askofu Bagonza. Kama hutaki kura yako iibiwe, Siku ya uchaguzi, kaa na kura yako nyumbani. Ukikosea tu ukaenda kituo cha kupigia kura, ukatumbukiza ndani ya box, ujue tayari kura yako imeibiwa na chama cha ibilisi.
 
amekua mwanachama wa kawaida kama mimi na wewe

what is all this nyege zimewashika people?
 
Wapumbavu na vipofu
 
Ameletewa sahani la ukoko!
 
Haahaa kiukweli ukiangalia kwa undani Chaumma sio chama Cha kumjenga mwanasiasa akatimiza ndoto zake Wala ndoto za umma..
 
Amepata admission kusoma PhD
 
Uamuzi wa busara ni ushauri wa Askofu Bagonza. Kama hutaki kura yako iibiwe, Siku ya uchaguzi, kaa na kura yako nyumbani. Ukikosea tu ukaenda kituo cha kupigia kura, ukatumbukiza ndani ya box, ujue tayari kura yako imeibiwa na chama cha ibilisi.
Askofu kakosea kidooogo.... kura inaibiwa pale unapoamua kumiliki kitambulisho... ukijiandikisha tu kura imeenda hiyo
 
Kama huna jibu kuna walio tayari kujibu hivyo usifure bila sababu
Huyo kakujibu vibaya lakini alitaka akufikirishe. Biniyai akihama ni habari kubwa, bila kuuliza yoyote ungeshaona huko kila sehemu picha na trend

Pia ukiwa kabla ya kuja kuuliza ulipaswa upitie page ya hiyo media, na page ya mhusika. Akili ndogo tu ungetumia
 
Yaani mimi nimeamua kuuliza hapa kwakuwa napo ningepata majibu.. Nice njia niliyoamua kuitumia
 
Yaani mimi nimeamua kuuliza hapa kwakuwa napo ningepata majibu.. Nice njia niliyoamua kuitumia
Boniyai sio rahisi taarifa zake ulete hapa kupata majibu, yule ungeshasikia akina millard ayo na vyombo vyote vya FISIEM vikireport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…