USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza hizi nguo huwa Zina valiwaje? Yani inakuwaje.
Ukweli ni kwamba, hizi Zina itwa G string au thog, kikubwa zaidi ni kwamba Zina faida kuu mbili ambazo zitakushangaza kwakweli.
1- Bila shaka umewahi Kumuona mdada kavaa nguo iwe suruali au gauni la kubana ila ukitazama huoni mistari Ile ya chupi inayo jitokeza juu ya nguo? Basi bwani hizi G string ndo dhumuni lake la kutengenezwa, Yani hiyo kamba inapita Katikati ya mstari wa ikweta.
2- Inasemekana mwanamke akivaa hiyo hasa maeneo ya chumbani wanaume husisimka zaidi tofauti na mwanamke anavyokuwa amevaa Ile ya kawaida.
Wataalamu Wana sema hakuna Sababu ya maana ya mwanamke kuvaa hizo G string.
Wanawake wengi Zina washinda kuvaa Kwa sababu huwa Zina Wanyima uhuru wakiwa Mbele za watu.
Kwa Wadada Wa Kitanzania wao Wana ziita chupi za kuombea msamaha, unaambiwa hata kama mwanaume Alikufumania ukimvalia hiyo msamaha anatoa na kukupatia pesa.
Na kikubwa zaidi ukitaka hizo chupi muone New Katoto iwe jumla au reja reja