Musachawenyu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 280
- 526
Muda badoKundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhiri wao CCM.
Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa brain ya kuiongoza Chadema na wakiondoka Chama hicho kitayumba.
Wakapewa pesa ya awali ili waweze kufanya mobilisation ya kuhamisha viongozi mbalimbali wa Chadema.
Zikaandaliwa press maeneo mbalimbali ya Nchi mfululizo.
Baada ya mikutano ya No Reforms No Election kuendelea kufanyika kwa mafanikio haswa kwa Kanda ya Kaskazini ambako waliamini itakuwa kinyume na Uongozi wa Lissu na Heche sasa CCM wamegundua G55 ni wahuni na hawakubaliki katika jamii hivyo hawana uwezo wa kuwatikisa kabisa.
Jambo hili limewasababisha wafikirie kuondoa ufadhiri wao na huenda sasa kina Ubwabwa wapya wakakosa ufadhiri na ahadi walizopewa na wakaendelea kudharirika katika jamii.
Walifikiri wana nguvu kumbe walikuwa wanabebwa na nguvu ya Chadema.CCM inataka kurudi kwa chadema Sasa Hawa wahuni wamekosea njia wanaanza kutapatapa
Aende na Bajaj.Kigaila anasubiri chopa?🤣🤣🤣
No Reforms No Election ukitafsiri kwa kiswahili utapotea🤣🤣🤣Chanzo tafadhali: Video/Barua.
View attachment 3351202
Muda wa kufanyaje?Muda bado
Mbowe sio mjinga. Amepima upepo kaona atajidharirisha.Vip mtu waliyekuwa wanamsubiri ahamie? Kimya chake kimewaweka njia panda chezea mtoto wa mjini
Wote hawajawahi shinda hata mjumbe wa mtaa🤣🤣🤣.Wale wahuni hawatafanikiwa
Sahihi kabisa. Walikuwa wala ruzuku na mzigo kwa Chama.Mrema na kigaila kuwa kwenye korido za Chadema HQ ilikuwa makosa makubwa sana,,,,bora wamegundulika mapema, better late than never! Walevi ,wanuni washenzi wajanja janja !
Yule ni hopeless kabisaHuyu mrema mnywa visungura ama mrema gani ? Mtu mda wote kalewa, hata hajui kinachoendelea, juzi kati katia aibu sana pale clouds ⛅️