fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,473
Wameenda kukinajisi chama cha mzee wa watu.
Mzee wa watu ukimuangalia ni kama kaladhimishwa vile

Hivi jitu kama hilo,hata uenyekiti wa kijiji linaweza kupata kweli?Kigaila anasubiri chopa?🤣🤣🤣
Wapigwe maweWasukuma wa sasa sio wale wa zamani.
Tunawasubiri kwa hamu tuwaaibishe hao matapeli wa siasa
Apatie wapi?Hivi jitu kama hilo,hata uenyekiti wa kijiji linaweza kupata kweli?
Wanataka ubwabwa kuku🤣🤣🤣Chaumma ni matapeli wa kisiasa hawajui wanachokitaka...
Acha bwana wewe. Anakula subgura mjanja! Jamaa anaonekana tu sura ya kilevi kabisaHuyu mrema mnywa visungura ama mrema gani ? Mtu mda wote kalewa, hata hajui kinachoendelea, juzi kati katia aibu sana pale clouds ⛅️
Ni vilaza wakutupwaWote hawajawahi shinda hata mjumbe wa mtaa🤣🤣🤣.
Hawaaminiki.
SahihiNi vilaza wakutupwa
G-55 a failed projectKundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhili wao CCM.
Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa brain ya kuiongoza Chadema na wakiondoka Chama hicho kitayumba.
Wakapewa pesa ya awali ili waweze kufanya mobilisation ya kuhamisha viongozi mbalimbali wa Chadema.
Zikaandaliwa press maeneo mbalimbali ya Nchi mfululizo.
Baada ya mikutano ya No Reforms No Election kuendelea kufanyika kwa mafanikio haswa kwa Kanda ya Kaskazini ambako waliamini itakuwa kinyume na Uongozi wa Lissu na Heche sasa CCM wamegundua G55 ni wahuni na hawakubaliki katika jamii hivyo hawana uwezo wa kuwatikisa kabisa.
Jambo hili limewasababisha wafikirie kuondoa ufadhiri wao na huenda sasa kina Ubwabwa wapya wakakosa ufadhiri na ahadi walizopewa na wakaendelea kudharirika katika jamii.
Umeongea kama utani ila ndio iko spotted hivyo. Ujinga wa waTZ ni chakula cha wanasiasaAende na Bajaj.
Anatafuta chopa na aanzie Mwanza ili wasukuma waje kuishangaa wajione wana watu🤣🤣
Mnafiki na ale inaa wake,acha jua liwake tuone walikokimbia kwenye chemchemu ya maji baridi kama watakuja japo kupooza kiu kwa kuomba kikombe cha maji baridi?Kundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhili wao CCM.
Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa brain ya kuiongoza Chadema na wakiondoka Chama hicho kitayumba.
Wakapewa pesa ya awali ili waweze kufanya mobilisation ya kuhamisha viongozi mbalimbali wa Chadema.
Zikaandaliwa press maeneo mbalimbali ya Nchi mfululizo.
Baada ya mikutano ya No Reforms No Election kuendelea kufanyika kwa mafanikio haswa kwa Kanda ya Kaskazini ambako waliamini itakuwa kinyume na Uongozi wa Lissu na Heche sasa CCM wamegundua G55 ni wahuni na hawakubaliki katika jamii hivyo hawana uwezo wa kuwatikisa kabisa.
Jambo hili limewasababisha wafikirie kuondoa ufadhiri wao na huenda sasa kina Ubwabwa wapya wakakosa ufadhiri na ahadi walizopewa na wakaendelea kudharirika katika jamii.
Nafuu hata wangeenda ACT MAENDELEO. LOO! wamejifilisi kisiasa kwelikweli.Kundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhili wao CCM.
Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa brain ya kuiongoza Chadema na wakiondoka Chama hicho kitayumba.
Wakapewa pesa ya awali ili waweze kufanya mobilisation ya kuhamisha viongozi mbalimbali wa Chadema.
Zikaandaliwa press maeneo mbalimbali ya Nchi mfululizo.
Baada ya mikutano ya No Reforms No Election kuendelea kufanyika kwa mafanikio haswa kwa Kanda ya Kaskazini ambako waliamini itakuwa kinyume na Uongozi wa Lissu na Heche sasa CCM wamegundua G55 ni wahuni na hawakubaliki katika jamii hivyo hawana uwezo wa kuwatikisa kabisa.
Jambo hili limewasababisha wafikirie kuondoa ufadhiri wao na huenda sasa kina Ubwabwa wapya wakakosa ufadhiri na ahadi walizopewa na wakaendelea kudharirika katika jamii.
🤣🤣🤣🤣🤣 Kina ubwabwa wapya wako hoi bini taaaaabaniKundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhili wao CCM.
Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa brain ya kuiongoza Chadema na wakiondoka Chama hicho kitayumba.
Wakapewa pesa ya awali ili waweze kufanya mobilisation ya kuhamisha viongozi mbalimbali wa Chadema.
Zikaandaliwa press maeneo mbalimbali ya Nchi mfululizo.
Baada ya mikutano ya No Reforms No Election kuendelea kufanyika kwa mafanikio haswa kwa Kanda ya Kaskazini ambako waliamini itakuwa kinyume na Uongozi wa Lissu na Heche sasa CCM wamegundua G55 ni wahuni na hawakubaliki katika jamii hivyo hawana uwezo wa kuwatikisa kabisa.
Jambo hili limewasababisha wafikirie kuondoa ufadhiri wao na huenda sasa kina Ubwabwa wapya wakakosa ufadhiri na ahadi walizopewa na wakaendelea kudharirika katika jamii.
Balaaa. Maharage yamechacha🤣🤣🤣🤣🤣 Kina ubwabwa wapya wako hoi bini taaaaabani