PreGE2025 G55: Kundi lote wameonekana ni matapeli na wamenyimwa Ufadhili

PreGE2025 G55: Kundi lote wameonekana ni matapeli na wamenyimwa Ufadhili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhili wao CCM.

Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa brain ya kuiongoza Chadema na wakiondoka Chama hicho kitayumba.

Wakapewa pesa ya awali ili waweze kufanya mobilisation ya kuhamisha viongozi mbalimbali wa Chadema.

Zikaandaliwa press maeneo mbalimbali ya Nchi mfululizo.

Baada ya mikutano ya No Reforms No Election kuendelea kufanyika kwa mafanikio haswa kwa Kanda ya Kaskazini ambako waliamini itakuwa kinyume na Uongozi wa Lissu na Heche sasa CCM wamegundua G55 ni wahuni na hawakubaliki katika jamii hivyo hawana uwezo wa kuwatikisa kabisa.

Jambo hili limewasababisha wafikirie kuondoa ufadhiri wao na huenda sasa kina Ubwabwa wapya wakakosa ufadhiri na ahadi walizopewa na wakaendelea kudharirika katika jamii.
Hahaha
 
Mbowe sio mjinga. Amepima upepo kaona atajidharirisha.
Pengine anavuta muda hali ipoe kwanza ndo aingie rasmi kipindi cha uchaguzi dakika ya 90😆
Au pengine kaamua kurejesha vile vipande thenashara vya fedha😇
 
Back
Top Bottom