PreGE2025 G55: Kundi lote wameonekana ni matapeli na wamenyimwa Ufadhili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wameenda kukinajisi chama cha mzee wa watu.
Mzee wa watu ukimuangalia ni kama kaladhimishwa vile
 
Huyu mrema mnywa visungura ama mrema gani ? Mtu mda wote kalewa, hata hajui kinachoendelea, juzi kati katia aibu sana pale clouds ⛅️
Acha bwana wewe. Anakula subgura mjanja! Jamaa anaonekana tu sura ya kilevi kabisa
 
G-55 a failed project
 
Aende na Bajaj.

Anatafuta chopa na aanzie Mwanza ili wasukuma waje kuishangaa wajione wana watu🤣🤣
Umeongea kama utani ila ndio iko spotted hivyo. Ujinga wa waTZ ni chakula cha wanasiasa
 
Mnafiki na ale inaa wake,acha jua liwake tuone walikokimbia kwenye chemchemu ya maji baridi kama watakuja japo kupooza kiu kwa kuomba kikombe cha maji baridi?
 
Nafuu hata wangeenda ACT MAENDELEO. LOO! wamejifilisi kisiasa kwelikweli.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Kina ubwabwa wapya wako hoi bini taaaaabani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…