Chini wa ufadhili wa agent, mwana wa malkia.Covid 19 na G55 ni Mali ya Mbowe
Mbinu ya No reform No electionMwaka huu mamluki wote watajulikana na kufurushwa ili kabla ya chadema kushika dola chama kisafishwe wachumia tumbo wote wasije tena kushika madaraka na kupewa vyeo
Siasa sio biashara!!
Huyu jamaa sikuwahi kumwelewa tangu zamani😅😅John Mrema ana enfluence gani yule?
Ahadi fake za Delila!Mbowe katika maridhiano binafsi (yale ambayo hakutaka kuwashirikisha wenzake)na Hangaya aliahidiwa majimbo ndiyo haya yamewatoa ufahamu hawa G55.
Kweli kabisaCovid 19 na G55 ni Mali ya Mbowe
Mama yupo kaziniHawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe.
Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa, Nyalandu e.t.c. Cdm halisi chini ya Lisu, wahakikishe wanayaweka pembeni makundi haya ya wasaka maslahi ili wabaki salama. Makundi haya hayajali taswira ya chama mbele ya umma, bali hujali maslahi yao kwanza. Piga chini hawa wote waende kwenye matawi yao mengine ya ccm kama NCCR, TLP nk. Ama kama vipi waende ccm kabisa wakakutane na kina Msigwa, Lijualikali, Katambi, Kafulila nk.
Mangi mwenzake James Mbatia aliahidiwa majimbo 20 na Magufuli mwisho wa siku hakuambulia hata kiti kimoja cha udiwani, CCM ni mashetani na shetani ni baba wa uwongo.Ahadi fake za Delila!
Yaani unaridhiana na majizi ya kura!Mangi mwenzake James Mbatia aliahidiwa majimbo 20 na Magufuli mwisho wa siku hakuambulia hata kiti kimoja cha udiwani, CCM ni mashetani na shetani ni baba wa uwongo.
hana lolote yule hana kazi aliyowahi kufanya tangu amedisco chuo UDSM 2006 (BAED) Hajawahi kufanya kazi popote pale zaidi ya makao makuu ya CHADEMA na alikuwa anabebwa na Mbowe tu hana lolote kichwani.Huyu jamaa sikuwahi kumwelewa tangu zamani😅😅
Sina shaka na Lissu, Heche!! Nina mashaka na Lema....?? Ngoja nisiseme sana. Lkn pia wawe makini na katibu mkuu huyo ni mfia MBOWE.