Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
JJM alifanya kazi yake ipasavyoKatibu Mkuu alijitahidi kusimamia uchaguzi vizuri Sana. Ndio maana walimrudisha. Hakutaka kuonesha upande.
JJM alifanya kazi yake ipasavyoKatibu Mkuu alijitahidi kusimamia uchaguzi vizuri Sana. Ndio maana walimrudisha. Hakutaka kuonesha upande.
Nilishawahi kuwandikia Barua ya Ushauri miaka ya nyuma Pale Makao Makuu. Kumbe ndio maana hawakushughulika na Idara ya mawasiliano ipasavyo.Yule John mrema aliiua idara ya mawasiliano, hata sitaki kumsikia.
Hata zing'ae vipi kama zinakandamiza Haki za Watu hazina maanaMama yupo kazini
Katibu Mkuu alijitahidi kusimamia uchaguzi vizuri Sana. Ndio maana walimrudisha. Hakutaka kuonesha upande.
Inasikitisha sanaYaani unaridhiana na majizi ya kura!
Atakuwa ni bonge la mjinga na hilo kundi lake. Uchaguzi wa SM si walipigwa kata funua, anaimini vipi kwenye huu mkubwa? Huu ujinga uchaguzi wa 2020 Magufuli pia aliwaingiza mjini Mbatia na Lipumba, kuwa atawaachia baadhi ya majimbo ili waizidi cdm. Lakini matokea yaliyokuwa yanapatikana huko kwenye vituo, cdm walikuwa wanawazidi hadi ccm, huku NCCR na CUF zikiwa hazipati kura zozote za maana. Magufuli akaona isiwe tabu bora watangazwe wa ccm kibabe tu.Mbowe katika maridhiano binafsi (yale ambayo hakutaka kuwashirikisha wenzake)na Hangaya aliahidiwa majimbo 40 ndiyo haya yamewatoa ufahamu hawa G55.
Shetani hana rafiki hata siku moja.Atakuwa ni bonge la mjinga na hilo kundi lake. Uchaguzi wa SM si walipigwa kata funua, anaimini vipi kwenye huu mkubwa? Huu ujinga uchaguzi wa 2020 Magufuli pia aliwaingiza mjini Mbatia na Lipumba, kuwa atawaachia baadhi ya majimbo ili waizidi cdm. Lakini matokea yaliyokuwa yanapatikana huko kwenye vituo, cdm walikuwa wanawazidi hadi ccm, huku NCCR na CUF zikiwa hazipati kura zozote za maana. Magufuli akaona isiwe tabu bora watangazwe wa ccm kibabe tu.
Mbona tayari kitambo tu.Bado nyie cdm maslahi hamjasifia ccm, natabiri Mbowe na genge lake watakuja kuwa machawa wakubwa kuliko hata Lyatonga😂
Uko sahihi kabisa. Mbowe ndiye baba yao na mpaka sasa ana-operate background. Ule uchaguzi hakutarajia kabisa kabisa kuwa atashindwa na alishapanga mengi. Kimsingi Mungu alitenda miujiza kwani watanzania wangeendelea kufuata ''upinzani'' wa Mbowe kumbe ajenda yake ilikuwa ni maslahi binafsi. Kama alikuwa na nia ya dhati basi ni ile miaka ya 10 ya kwanza lakini baada ya kukaa kwenye madaraka na kulewa alishaona ni njia ya kuendeshea maisha yake.Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe.
Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa, Nyalandu e.t.c. Cdm halisi chini ya Lisu, wahakikishe wanayaweka pembeni makundi haya ya wasaka maslahi ili wabaki salama. Makundi haya hayajali taswira ya chama mbele ya umma, bali hujali maslahi yao kwanza. Piga chini hawa wote waende kwenye matawi yao mengine ya ccm kama NCCR, TLP nk. Ama kama vipi waende ccm kabisa wakakutane na kina Msigwa, Lijualikali, Katambi, Kafulila nk.
Kabisa, ilikuwa hata ukifungua website ya cdm iko offline, link za social media ilikuwa zimekufa kabisa. Wangalau sasa link nyingi zinafanya kazi, na website nimeambiwa inafanyiwa kazi, soon itakuwa hewani UHURUWANGUYule John mrema aliiua idara ya mawasiliano, hata sitaki kumsikia.
John Mnyika ni mtu makini, yeye na Lissu ni mmoja wapo wa watu walioumizwa sana na ujio wa Lowasa ile 2015 ila aliamua kukaa kimya na kuheshimu kanuni ya uwajibikaji wa pamojaSina shaka na Lissu, Heche!! Nina mashaka na Lema....?? Ngoja nisiseme sana. Lkn pia wawe makini na katibu mkuu huyo ni mfia MBOWE.
Chiba atakula mzinga soonMbowe katika maridhiano binafsi (yale ambayo hakutaka kuwashirikisha wenzake)na Hangaya aliahidiwa majimbo 40 ndiyo haya yamewatoa ufahamu hawa G55.
Kabisa, Mbowe nilimstukia baada ya ujio wa Lowassa, na bado akalazimisha uchaguzi wa 2019 kuwa mwenyekiti. Kama sio wajumbe kuwa wakali, alikuwa anataka Nyalandu ndio awe mgombea urais wa cdm.Uko sahihi kabisa. Mbowe ndiye baba yao na mpaka sasa ana-operate background. Ule uchaguzi hakutarajia kabisa kabisa kuwa atashindwa na alishapanga mengi. Kimsingi Mungu alitenda miujiza kwani watanzania wangeendelea kufuata ''upinzani'' wa Mbowe kumbe ajenda yake ilikuwa ni maslahi binafsi. Kama alikuwa na nia ya dhati basi ni ile miaka ya 10 ya kwanza lakini baada ya kukaa kwenye madaraka na kulewa alishaona ni njia ya kuendeshea maisha yake.
Mungu aliyemponya na mvua ile ya risasi bado ana makusudi naye hadi atimize kusudi la Mungu kwa Taifa hili.Chiba atakula mzinga soon
Aendelee kuzurura hovyo
Naam Dogo Yupo Nyuma ya Pazia anasukuma KeteChini wa ufadhili wa agent, mwana wa malkia.
Sea mkuu....wacha tuhifadhi maneno!!! Lakini hata MBOWE watu walimtetea sana humu leo ndio wanaponda ....... Ogopa sana mtu asiyetamka neno juu ya ubaya anaoufaham!!John Mnyika ni mtu makini, yeye na Lissu ni mmoja wapo wa watu walioumizwa sana na ujio wa Lowasa ile 2015 ila aliamua kukaa kimya na kuheshimu kanuni ya uwajibikaji wa pamoja
Mnyika si Mjinga, angekua Mfia Mbowe Siku ya Uchaguzu angejionyesha, Lema usiwe na Shaka nae ni mtu Aliyenyooka sana, angekua amepinda siku Nyingi tu angesha salitiSina shaka na Lissu, Heche!! Nina mashaka na Lema....?? Ngoja nisiseme sana. Lkn pia wawe makini na katibu mkuu huyo ni mfia MBOWE.
Chiba atakula mzinga soon
Aendelee kuzurura hovyo