G55 ni tawi la covid19, CDM halisi kuweni macho

Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe.

Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa, Nyalandu e.t.c. Cdm halisi chini ya Lisu, wahakikishe wanayaweka pembeni makundi haya ya wasaka maslahi ili wabaki salama.

Makundi haya hayajali taswira ya chama mbele ya umma, bali hujali maslahi yao kwanza. Piga chini hawa wote waende kwenye matawi yao mengine ya ccm kama NCCR, TLP nk. Ama kama vipi waende ccm kabisa wakakutane na kina Msigwa, Lijualikali, Katambi, Kafulila nk.
Ikiwezekana hao ni wakufutwa uanachama mara moja,yaweza kuwa ni matokeo ya kauli ya mpox na ebola,yaweza kuwa ile ilikuwa lugha fiche tu ama akili zangu tu wajameni?
 
Njia ya kwenda mbinguni haijawahi kuwa nyepesi.

Taifa hili limeendeshwa kwa siasa za kilaghai na kitapeli kwa muda mrefu sana ndo mana ni kama tuna laana vile. Huwezi kuona maendeleo ya kweli kwa Wananchi.

Mungu ana makusudi sana na Tanzania mwaka huu. Lissu hakuponywa na mauti kwenye zile risasi 17 kwa bahati mbaya. Mungu alimony ili alete siasa za ukweli Tanzania na nchi ikapone na kupata mifumo thabiti.
Mbingu gani!!?
 
Bado nyie cdm maslahi hamjasifia ccm, natabiri Mbowe na genge lake watakuja kuwa machawa wakubwa kuliko hata Lyatonga😂
😂😂😂😂😂 nimeandika ulichopenda kusoma teh teh teh una chuki sana na Mbowe but pole sana!! Pambana na chiba wako
 
NJAA 55 Kiongozi wao mkubwa ni John Mrema ambae ni kibaraka wa Mbowe.
Hawa ni madalali wa Kisiasa wasaka fursa.
 
China hao kesho au kesho kutwa kwa kushiriki matendo ya rushwa na kulihujumu taifa tungewaimbia mapambio ya tutaonana tenaaa,tutaonanatenaaa.au?
 
Lissu na team yako endelea kukaza uzi ili pumba na mchele vionekane.
Pumba zikamwagwe jalalani fasta. What is G55 kwa wanachama zaidi ya elfu sita. Hao ni wakupuuzwa
 
Ikiwezekana hata mwenye chair na g55 a.k.a mpox55
 
Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe.

Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa, Nyalandu e.t.c. Cdm halisi chini ya Lisu, wahakikishe wanayaweka pembeni makundi haya ya wasaka maslahi ili wabaki salama.

Makundi haya hayajali taswira ya chama mbele ya umma, bali hujali maslahi yao kwanza. Piga chini hawa wote waende kwenye matawi yao mengine ya ccm kama NCCR, TLP nk. Ama kama vipi waende ccm kabisa wakakutane na kina Msigwa, Lijualikali, Katambi, Kafulila nk.
Hatutaki tena siasa za kilaghai kwa sasa,Hii nchi ina misingi yake hakuna tena kuleta uhuni uhuni kwenye uchaguzi watu wenye uwezo wako wengi.Mwenye uwezo wa kuongoza raia kwa misingi sahihi apate nafasi siyo kutuletea viongozi wa michongo.Nyakati za utandawazi hizi lazima tupate watu smart watuongoze kuharakisha maendeleo ya kweli na siyo porojo.
 
Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe.

Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa, Nyalandu e.t.c. Cdm halisi chini ya Lisu, wahakikishe wanayaweka pembeni makundi haya ya wasaka maslahi ili wabaki salama.

Makundi haya hayajali taswira ya chama mbele ya umma, bali hujali maslahi yao kwanza. Piga chini hawa wote waende kwenye matawi yao mengine ya ccm kama NCCR, TLP nk. Ama kama vipi waende ccm kabisa wakakutane na kina Msigwa, Lijualikali, Katambi, Kafulila nk.
Hilo group la G55 litapata support yote ya dola kama walivyopata Covid19 ndani ya bunge. Kilichoikuta CUF kwenye mgogoro wa Lipuma na Maalim Seif rasmi kinahamia cdm.

Haya ni madhara ya dhahiri kuwa na viongozi wa muda mrefu kwenye hivi vyama vya upinzani. Wanakaa muda hadi kugeuzwa wapinzani viini macho kwa faida ya ccm. Ukweli huo ulionekana kwa NCCR, CUF na sasa unahamia CDM.
 
Back
Top Bottom