Hiyo inaitwa tweaking, mnatafuta Mfadhili(Abdul)“G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi na tunaendelea kupeana uzoefu kuona tunawezaje kupata rasilimali ili kujipanga na kampeni” - John Mrema
#PressG55
#EastAfricaView attachment 3294785TV
USSR
Udikteta uchwaraWafukuzwe MARA MOJA
Sahihi kabisa. Lakini leo jamaa mmoja amenipa kijarida kinaitwa Tumaini Letu ambapo kwenye ukurasa wa 4 Askofu mmoja amenukuliwa kwa kusema "Na mafundisho ya Kanisa Katoliki yanasema huwezi kutangaza Habari Njema sehemu ambayo haki imenyang'anywa. Kwa hiyo tuseme, na kuhakikisha kwamba haki ipo." Je, kauli kama hiyo maana yake nini au Askofu anatuma ujumbe gani hususani kwa muktadha wa hoja kati ya Lissu na G55.g-55 shikilieni hapo hapo haki ya kuchagua na kuchaguliwa ni ya kikatiba.
Udikteta uchwara
Hawa wanaungana na wale 19 akina Mdee na watatoka na chama cha upinzani kitakachoua Chadema na upinzani kwa ujumla ndani ya Tanzania
hahaha watanzania sio wajinga hivyo mkuu, yaan mrema ana ushawishi gani? hadi apate wafuasiHawa wanaungana na wale 19 akina Mdee na watatoka na chama cha upinzani kitakachoua Chadema na upinzani kwa ujumla ndani ya Tanzania
g-55 shikilieni hapo hapo haki ya kuchagua na kuchaguliwa ni ya kikatiba.
Duuu mbona umeongea kitu cha hovyo sana mkuuHawa wanaungana na wale 19 akina Mdee na watatoka na chama cha upinzani kitakachoua Chadema na upinzani kwa ujumla ndani ya Tanzania
Hwana kitu hao ndugu,njaa mbya washageuza Ubunge ni kazi ya kuajiriwa ndio shida.Yaani wawezi fanya shughuli nyingine zaidi ya siasa.Hawa wanaungana na wale 19 akina Mdee na watatoka na chama cha upinzani kitakachoua Chadema na upinzani kwa ujumla ndani ya Tanzania