Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Siku ya leo, kada maarufu wa CHADEMA John Mrema ambaye siku chache nyuma alitoa msimamo wa kupinga msimamo wa CHADEMA wa No Reforms No Elections kupitia kikundi cha G55, anatarajiwa kuzungumza na wanahabari.
Bado haijajulikana ataenda kuongea nini, kama bado atashikilia uamuzi wake wa kutaka kushiriki kwenye Uchaguzi, atakuwa amebadilisha msimamo au ataongelea kesi ya Lissu.
Kaa laribu na uzi huu ili ujue nini kitajiri