PreGE2025 G55 wakiongozwa na John Mrema wanazungumza na wanahabari muda huu

PreGE2025 G55 wakiongozwa na John Mrema wanazungumza na wanahabari muda huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
The way I know Mrema, hapaswi hata kuitwa eti mwanasiasa maarufu, hana umaarufu wowote, na kimsingi Mrema ni Liability na sio asset ktk siasa za tanzania, uchaga ndio ulimbeba. Na suala la ubunge atalisikia redioni tu

Kama wema anakuja wenzake:

GofAzFFWoAAkrVL.jpeg
 
Huenda kahaidiwa ubunge wa kupewa
Huyu dogo ninamfahamu, alikua waziri wa elimu pale mlimani, yeye ni mtu wa kubebwa tu hata kujenga hoja hajui. Rais wake alikua Mwita waitara. Aondoke tu kwa sababu hakuna asiejua kwamba ataondoka.
 
Dhana ya uhaini inapotoshwa, uhaini ni kuondoa viongozi waliopo madarakani kwa nguvu za kijeshi na sio kusema hakuna uchaguzi
Na CHADEMA wamesema mbinu za kuzuia uchaguzi zipo nyingi. Kwa nini wajinga wawaze kuwa mabavu pekee ndiyo yatatumika kuzuia uchaguzi?
 
Wakuu,

Siku ya leo, kada maarufu wa CHADEMA John Mrema ambaye siku chache nyuma alitoa msimamo wa kupinga msimamo wa CHADEMA wa No Reforms No Elections kupitia kikundi cha G55, anatarajiwa kuzungumza na wanahabari.

Bado haijajulikana ataenda kuongea nini, kama bado atashikilia uamuzi wake wa kutaka kushiriki kwenye Uchaguzi, atakuwa amebadilisha msimamo au ataongelea kesi ya Lissu.

Kaa laribu na uzi huu ili ujue nini kitajiri


Mbona Erythrocyte yupo kimya kuhusu hii press conference?
 
Huyu leo tu ataongea kama mwanachadema na hatarudia tena maana atakuwa amepoteza uanachama
 
Loh! Sikujua kumbe Mrema ni mjinga kiasi hiki!!

CHADEMA inataka kuondokana na wananchi kuuawa wakati wa uchaguzi, Mrema anasema eti wanaouawa wakati wa uchaguzi ni wachache kuliko wanaoweza kuuawa wakati wa kuzuia uchaguzi. Yaani kwake yeye wananchi kuendelea kuuawa kidogo kidogo ni sahihi kuliko kuumia mara moja halafu ukawahakikishia wananchi usalama wakati wa uchaguzi.

Kwa kweli Mrema ni hopeless!!
 
Na CHADEMA wamesema mbinu za kuzuia uchaguzi zipo nyingi. Kwa nini wajinga wawaze kuwa mabavu pekee ndiyo yatatumika kuzuia uchaguzi?
Tatizo njia mnayoitangaza ya kuzuia uchaguzi ni kuleta fujo, hizo nyingine nyingi hamzisemi. Zisemeni tuone kama zipo ambazo siyo kulianzisaha kama Lissu anavyotangaza.
 
Baada ya jaribio la Mbowe kumshawishi Lissu alegeze msimamo kushindwa ndiyo kawatuma vijana wake waje kuongeza mbinyo.
 
Back
Top Bottom