Wakuu,
Siku ya leo, kada maarufu wa CHADEMA John Mrema ambaye siku chache nyuma alitoa msimamo wa kupinga msimamo wa CHADEMA wa No Reforms No Elections kupitia kikundi cha G55, anatarajiwa kuzungumza na wanahabari.
Bado haijajulikana ataenda kuongea nini, kama bado atashikilia uamuzi wake wa kutaka kushiriki kwenye Uchaguzi, atakuwa amebadilisha msimamo au ataongelea kesi ya Lissu.
Kaa laribu na uzi huu ili ujue nini kitajiri
DalaliWakuu,

Ahame tu ahamie act wazalendoWakuu,

Madalali kazini au sio?Yaani hatutegi sikio tu, tunatega macho, pua na kichwa
Kashakuwa Dalal huyoWakuu,
Siku ya leo, kada maarufu wa CHADEMA John Mrema ambaye siku chache nyuma alitoa msimamo wa kupinga msimamo wa CHADEMA wa No Reforms No Elections kupitia kikundi cha G55, anatarajiwa kuzungumza na wanahabari.
Bado haijajulikana ataenda kuongea nini, kama bado atashikilia uamuzi wake wa kutaka kushiriki kwenye Uchaguzi, atakuwa amebadilisha msimamo au ataongelea kesi ya Lissu.
Kaa laribu na uzi huu ili ujue nini kitajiri
Huyo mjinga sio CHADEMA ni G-55 au Njaa 55Wakuu,
Siku ya leo, kada maarufu wa CHADEMA John Mrema ambaye siku chache nyuma alitoa msimamo wa kupinga msimamo wa CHADEMA wa No Reforms No Elections kupitia kikundi cha G55, anatarajiwa kuzungumza na wanahabari.
Bado haijajulikana ataenda kuongea nini, kama bado atashikilia uamuzi wake wa kutaka kushiriki kwenye Uchaguzi, atakuwa amebadilisha msimamo au ataongelea kesi ya Lissu.
Kaa laribu na uzi huu ili ujue nini kitajiri
Hayo ndo matatizo yenu, mnataka kila nyumbu amfuate Lissu. Kuna wengine akili zimewarudia . Acha G55 washiriki uchaguzi kupitia CCM.Dalali
Kwa mrema? Hahaha. Unatia aibuYaani hatutegi sikio tu, tunatega macho, pua na kichwa
Hayo ndo matatizo yenu, mnataka kila nyumbu amfuate Lissu. Kuna wengine akili zimewarudia . Acha G55 washiriki uchaguzi kupitia CCM.