Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unayejua future toa data zako basiSio kweli, naona huelewi kabisa future ya nishati ya mafuta ambayo tayari inawafanya hata waarabu waanze kujipanga.
Japan mbali mno, kasouth Korea tu kanamzidi Russia.Ongezea kuwa ndani ya huo uchumi mdogo, Ufisadi ni mzito Russia, kuna kigenge kinajipigia tu pesa. Wewe tazama gas na mafuta anayomiliki russia, bado kiuchumi katupwa na mjapan hana rasilimali hata.
Lazima Urusi afanye biashara zote kadri inavobidi na mataifa ya Magharibi akili kubwa sana ile na haya yooote ni iliKama urussi ana jeuri angegoma kuwauzia hizo bidhaa nchi za magharibi.
Yani watu wakuwekee vikwazo, washike Mali yako, wamsaidie na silaha adui yako alafu kisha bado unafanya nao biashara.
Hapa urussi kashikishwa ukuta
Sawa.Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022.
Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa mtandaoni jana Mei 8, 2022 kwa kuwa wanalenga moja ya chanzo kikubwa cha Urusi kuingiza mapato.
G7 ambayo inajumuisha Nchi a Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani imefanya kampeni hiyo ili kummaliza nguvu Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
“Hii itakuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Rais Vladimir Putin na kumnyima mapato anayoyahitaji kufadhili vita vyake,” inaeleza kauli ya G7 baada ya mkutano kwa njia ya mtandao.
Baada ya mkutano wao huo pia walipata nafasi ya kuzungumza na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ambapo wlaimjulisha juu ya mipango yao hiyo.
..................................................................................................
Leaders of the Group of Seven have committed to phasing out their countries’ dependency on Russian energy as they announced fresh sanctions as part of an “unprecedented” package of coordinated sanctions to punish Russia over its invasion Ukraine.
After meeting virtually with Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy on Sunday, the leaders also pledged to “elevate” a campaign against Russian elites who support President Vladimir Putin.
The latest show of support for Ukraine comes as Russia prepares to celebrate the defeat of Nazi Germany during World War II.
Putin is expected to preside on Monday over a parade in Moscow’s Red Square of troops, tanks, rockets and intercontinental ballistic missiles, making a speech that could offer clues on the future of the two-month old conflict.
Source: Aljazeera
Hununui mafuta alafu bado Una nunua gesi kutoka kwake kweli western mwaka huu wamepatikana unanunua ngano, mafuta ya Kula, makaa ya mawe, gesi si angeacha kununua vyote tuone kama wao ni jeurii sana