Mahitaji ya mafuta yataendelea kupungua duniani kutokana na kuongezeka kwa teknolojia bila kujali swala la Russia na Ukraine na ndio maana mataifa ya kiarabu tayari yameanza kujipanga.
Kufikia mwaka 2035 Ulaya, Marekani, Canada, Japan na Australia watapiga marufuku utengenezaji wa magari yote yanayotumia nishati ya mafuta.
Hivyo mataifa yanayotegemea mafuta kama njia kuu ya kujiingizia mapato yatakuwa na wakati mgumu sana kwani mapato yao yataporomoka.
Magari yanakuja ya kutumia nishati ya umeme na jua na pia majumbani umeme wa jua ndio utakaotumika na kupelekea makampuni kama Tanesco kufa.