Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,444
- 8,769
Venezuela mkate bei ghali kuliko mafutaa.Ukiwa na mafuta duniani uwezi ukafa njaa hata siku moja msituongopee kabisa maana wewe ukisusa kununua wenzako wananunua na maisha yanaendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Venezuela mkate bei ghali kuliko mafutaa.Ukiwa na mafuta duniani uwezi ukafa njaa hata siku moja msituongopee kabisa maana wewe ukisusa kununua wenzako wananunua na maisha yanaendelea.
👏👏👏👏🤜Kesho utasikia
"Hatuwezi kususia mafuta na gas kutoka Russia, ili kulinda uchumi wa ujeruman na watu wake" Chancellor wa ujeruman.
"Japan haiwezi kuachana na mradi wake wa bomba la mafuta kutoka urusi, kwasababu ni mradi wenye masilahi mapana kwa uchumi wa taifa letu"
"USA yaendelea kuagiza mafuta Urusi japo imepunguza asilimia kama njia moja wapo ya kutounga uvamizi wa urusi nchini Ukraine" White house.
Hiyo ndo nguvu ya G7 inayopelekwa mputa mputa na Nguvu ya giant mmoja anaejulikana kama G1 A.k.A jeshi la mtu mmoja.
Mkitukanwa mnalialia, kwahiyo kwa ubongo wako huohuo uliopewa unadhani Russia hakujipanga katika hili?Watu wanaponda mno NATO, hawajui kuwa walishajipanga muda saana tu.
Unafahamu chanzo cha mzozo huu? Si Russia hataki Ukraine ijiunge na NATO akihofia military base kujengwa Ukraine hasa military base ya US?Kama wanaweka vikwazo, Ili tuwaone wako sirious wangeweka na vikwazo vya kuagiza mbolea na Gas kutoka Russia. Lakini hicho wanqchofanya ni unafiki kwa UKRAINE, wapeleke na majeshi yao kabisa wamtoe PUTIN Ukraine wamfuate mpaka Russia wamchakaze Ili asirudie kwa nchi nyingine. Tofauti nahapo wanafanya unafiki wakumkopesha silaha Ukraine Ili OP ikiisha waangalie namna gani watalipwa.
Hahaha bora umemtajia hai.Nigeria wanakufa njaa
Sasa kipindi hiki si ndiyo Mama aagize Mafuta kutoka Urusi moja kwa moja, maana wanunuzi wengine wamesusa kwa sababu zao binafsi,na soko litakua chini kidogo!!?Ukiwa na mafuta duniani uwezi ukafa njaa hata siku moja msituongopee kabisa maana wewe ukisusa kununua wenzako wananunua na maisha yanaendelea.
Tatizo tunabishana na watoto wadogo hawajui maisha bado wanakaa kwa shemeji, Mimi ni mfanyi biashara na siku zote sinaga jeuri mbele ya mteja hata akaja vipi.Sijui watu tatizo ni shule au ni nini, kwani kati ya muuzaji na mnunuzi, anayemhitaji mwenzie zaidi ni nani? Si anayeuza? Tafsir ya kuuza ni kwamba wewe una uhitaji, usipokuwa na uhitaji huwezi kuuza.
Russia ktk hili ndio muathirika zaidi, ni vile tu nchini kwake vyombo vya habari vyote vimezimwa kutoa ripoy negative ktk hii inayoitwa operation.
Hawa vijana wanaojiita mashabiki wa putin wanapaswa kutazama hili sakata kwa mapana.
Kwani hayo mashariti ya hao Wazungu na sisi yanatuhusu!? Au sisi Africa tunaweza endelea na mishe zetu kama kawa pamoja na ununuwaji wa Mafuta!!?Hivi vikwazo tunapgwa dunia nzima , wao watuambae pakununua na pawe cheaper
Mkenge kivipi?Hivi Japan alijikutaje humo..?[emoji23]
Huko ndo kuingia mkenge Sasa!!
Washabiki wenyewe ni akina bwana utam wanaelewa nini zaidi ya ushabiki?Sijui watu tatizo ni shule au ni nini, kwani kati ya muuzaji na mnunuzi, anayemhitaji mwenzie zaidi ni nani? Si anayeuza? Tafsir ya kuuza ni kwamba wewe una uhitaji, usipokuwa na uhitaji huwezi kuuza.
Russia ktk hili ndio muathirika zaidi, ni vile tu nchini kwake vyombo vya habari vyote vimezimwa kutoa ripoy negative ktk hii inayoitwa operation.
Hawa vijana wanaojiita mashabiki wa putin wanapaswa kutazama hili sakata kwa mapana.
Siku zote mashabiki huwa wachezaji wazuri kuliko wachezaji wenyewe walioko uwanjani.Kesho utasikia
"Hatuwezi kususia mafuta na gas kutoka Russia, ili kulinda uchumi wa ujeruman na watu wake" Chancellor wa ujeruman.
"Japan haiwezi kuachana na mradi wake wa bomba la mafuta kutoka urusi, kwasababu ni mradi wenye masilahi mapana kwa uchumi wa taifa letu"
"USA yaendelea kuagiza mafuta Urusi japo imepunguza asilimia kama njia moja wapo ya kutounga uvamizi wa urusi nchini Ukraine" White house.
Hiyo ndo nguvu ya G7 inayopelekwa mputa mputa na Nguvu ya giant mmoja anaejulikana kama G1 A.k.A jeshi la mtu mmoja.
Utanunua mafuta Urusi; kwenye misaada/ mikopo wanaku-blockWakubwa wa dunia hawanunui mafuta kwa sababu wanayo ya kutosha kwann seriakl yetu isende urusi kununua mafuta tena bei rahis tu kuliko kutujazia huku mabei na Tz hatupo upande wowote wa vita 😮
Tatzo pro rusia wengi Wana uelewa mdogo. Kama rusia ni mbabe si akatae kuwauszia kama. Anajitisheleza. Make NATO na USA wao hua wanakupiga burn. Hawakuuzii kabisa. Rusia anabweka lkn anawauzia. Si akatae ili tuone ubabe wake.Kesho utasikia
"Hatuwezi kususia mafuta na gas kutoka Russia, ili kulinda uchumi wa ujeruman na watu wake" Chancellor wa ujeruman.
"Japan haiwezi kuachana na mradi wake wa bomba la mafuta kutoka urusi, kwasababu ni mradi wenye masilahi mapana kwa uchumi wa taifa letu"
"USA yaendelea kuagiza mafuta Urusi japo imepunguza asilimia kama njia moja wapo ya kutounga uvamizi wa urusi nchini Ukraine" White house.
Hiyo ndo nguvu ya G7 inayopelekwa mputa mputa na Nguvu ya giant mmoja anaejulikana kama G1 A.k.A jeshi la mtu mmoja.
Sasa kama kabipanga si awapige burn ya ges na mafuta. Anajua kabisa NATO kapeleka silaha. Lkn bado unamuumzia ges na mafuta na mbolea. Si umpige burn kama wew ni mwanaume.Mkitukanwa mnalialia, kwahiyo kwa ubongo wako huohuo uliopewa unadhani Russia hakujipanga katika hili?